Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamia Zantel halafu utakuja kufuta hii comment yako hapa.Hakuna kuliko na unafuu
Zantel hakuna huo upuuzi, tatizo Watanzania ni watu wa kulia lia hovyo. Mkipigwa mnalia lia badala mu move on mitandao mitano kweli ung'ang'ane na matapeliKote ni vilio tu mkuu, ndiyo maana unakuta mtu analine nyingi za kila mtandao utazani wakala kumbe nikila mtandao umakagua
Mkuu, Zantel mtandao wake upo kasi? Vifurushi vya wiki bei gani??a
Hamia Zantel halafu utakuja kufuta hii comment yako hapa.
Halotel nako watakurupua vifurushi mda si mrefu. Yani hayo mamitandao niliyahama sababu hio. Wote washenzi ni mbio za vijiti tu....Akianza Voda anampasia Tigo anampasia Halotel...anamrudishia voda.Wa halotel wanacheka hivi View attachment 1687239ila wangejua yajayo yanafurahisha
Wewe bhana. Acha ninyamaze tu. Nikikujibu nitaonekana nina wasiwas na IQ yako.Ukweli ni kuwa Tanzania ni nchi ambayo gharama za data ziko chini sana. Nchi nyingi bando la 1GB ni zaidi ya 10,000.
Sasa wewe 1GB 3,000 unalalamika? Tena tukiwa uchumi wa kati?
Tupa halafu uhamie Voda ndipo utakaporudi kuanza kuitafuta hiyo laini uliyoitupa.tupa kule li line lao takataka
Zantel niliwahi kutumia muda sana, nitaitafuta sasa [emoji23] kuna line nyingine tunazitumia kama simu ya mezani basiZantel hakuna huo upuuzi, tatizo watanzania ni watu wa kulia lia hovyo. Mkipigwa mnalia lia badala mu move on mitandao mitano kweli ung'ang'ane na matapeli
Hii ambayo kupata laini na vocha tu ni ishu kwa huku niliko??a
Hamia Zantel halafu utakuja kufuta hii comment yako hapa.
Liweke basi kwa kabatiTupa halafu uhamie Voda ndipo utakaporudi kuanza kuitafuta hiyo laini uliyoitupa.
Kasi ni 4G hamna utapeli wa kuibiana MB.Mkuu, Zantel mtandao wake upo kasi? Vifurushi vya wiki bei gani??
Hata me nikama wewe mkuu yaani toka buku mpka buku tatu kwa gb 1 na sms 100 na dakika 120 kweli cjui voda wanatuonaje.Ya kwako tu ndo ilikuwa inanisaidia ila naona kama kwangu imepanda tena 3000 per week
Hal
Halotel nako watakurupua vifurushi mda si mrefu. Yani hayo mamitandao niliyahama sababu hio. Wote washenzi ni mbio za vijiti tu....Akianza Voda anampasia Tigo anampasia Halotel...anamrudishia voda.
Kihistoria tunaita "Nomadic Pastoralism" au "Shifting Cultivation" 😂😂😂
Endeeleeni kupigwa, Zantel ni 12GB kwa 10K...Mkuu mimi mwenyewe nimepatwa na mshangao huohuo leo. Hapa nafikiria kuhama mtandao, sijui huko kwingine nako ni nafuu au ni unyonyaji huu huu.