Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Mimi natumia line yao kupokea simu tuu. Wanakata pesa bila kukuambia unastukia hamna kitu. Nipo na airtel murua kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi tigo natumia upande waa sms za kawaida naniunga mwezi kwa 1500 na tigo pesa tuu .Kwanza mtandao wao hii ni wiki ya pili unasumbua sana na hawajasema chochote kwa wateja wao.
Pili, ni kuongeza gharama kwenye vifurushi vyao. Hapo mwanzo walikuwa wakinipa GB 2 kwa Tsh 3000 kwa wiki sasa umekuwa nu GB 1 tu
Naikubali sana kwanza siku hizi offer za kufa mtu... Ukijiunga jumatatu kwa sh 1000 unapiga halo kwenda halo mpaka jumapili saa sita usiku.Halotel wakoje??
Mzee samahani kwa kukutoa nje ya mada kidogo... simu yako umeitega/unatumia lugha gani vile!!?Nilikia najiunga vifurushi vya Tigo muda si mrefu,khe!kuangalia menu naona wamepandisha gharama kwa 100% na kupunguza huduma.
Ndio nikageukia vifurushi vya TTCL(laini ninayo),nikaona kwa robo ya gharama ya TTCL unapata huduma mara 2 zaidi kwa Tigo.
Waungwana na wapenda maendeleo wote naomba tuhamie TTCL haraka iwezekanavyo.....nina uhakika hata hapo ofisi ya Tigo makao makuu wote watakua wanatumia TTCL .
1.vifurushi vya TTCL vya wikiView attachment 1686635
2.Vifurushi vya Tigo vya wiki
View attachment 1686650
Neno Mkuu limetawala sana keyboard yako hahaha
Hahahhaha...Neno Mkuu limetawala sana keyboard yako hahaha
Tatizo la Zantel(Ezypesa), hawana connection nzuri na Worldremit!Uelekeo wapi sasa
Njoo Zantel nikubembeleze nina dakika kama 9000 hivi