Malalamiko ya Wananchi kuhusu mabadiliko na gharama za vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo mwaka 2021

Malalamiko ya Wananchi kuhusu mabadiliko na gharama za vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo mwaka 2021

Mimi natumia line yao kupokea simu tuu. Wanakata pesa bila kukuambia unastukia hamna kitu. Nipo na airtel murua kabisa
 
Wliongeza gharama kimya kimya kile kifurushi cha 2500 kwa wiki ulikuwa unapata dk, sms, na GB 1 leo imekuwa 3000 na bando limepunguzwa ikiwemo kupewa MB 500 uzuri sokoni ni huria tuwaache waendelee na ukora wao
 
Nilidhani nimekosea menu mara ya kwanza nikarudia tena na tena na tena. Nikajisemea hii line nimeimiliki huu ni mwaka wa 16. Sasa kwa hili lazima Halotel niwapigie hodi. Uhuru wa kuchagua na kuamua juu ya maisha yangu. Nimewachukia Tigo mpaka nimepitiliza. Kwanza wiki ya pili mtandao unasumbua kupiga simu mpaka internet. Goodbye Tigo
 
Kwanza mtandao wao hii ni wiki ya pili unasumbua sana na hawajasema chochote kwa wateja wao.

Pili, ni kuongeza gharama kwenye vifurushi vyao. Hapo mwanzo walikuwa wakinipa GB 2 kwa Tsh 3000 kwa wiki sasa umekuwa nu GB 1 tu
Mi tigo natumia upande waa sms za kawaida naniunga mwezi kwa 1500 na tigo pesa tuu .
 
Hv c ndo nyie mlikuwa mnafurahia kifurushi cha 1500 dkk 150, GB 1 na unlimited sms kwa wiki.?
 
Hawa tigo wamekuwa kikwazo mimi nimetoa na laini yao kabisa maana haiwezekani vifurushi vimepanda bei na mtandao unasumbua bila taarifa yeyote kwa wateja maana yao nikwamba wametuacha tuji hangaikie is to much
 
Nilikia najiunga vifurushi vya Tigo muda si mrefu,khe!kuangalia menu naona wamepandisha gharama kwa 100% na kupunguza huduma.

Ndio nikageukia vifurushi vya TTCL(laini ninayo),nikaona kwa robo ya gharama ya TTCL unapata huduma mara 2 zaidi kwa Tigo.

Waungwana na wapenda maendeleo wote naomba tuhamie TTCL haraka iwezekanavyo.....nina uhakika hata hapo ofisi ya Tigo makao makuu wote watakua wanatumia TTCL .

1.vifurushi vya TTCL vya wikiView attachment 1686635

2.Vifurushi vya Tigo vya wiki
View attachment 1686650
Mzee samahani kwa kukutoa nje ya mada kidogo... simu yako umeitega/unatumia lugha gani vile!!?
 
Mimeacha rasmi kutumia tigo nipo hallotel kwanza
 
Na mimi nimetangaza rasimi kuwahama leo nilichokiona kwenye menu nimekimbilia VODA Gb3 kwa wiki kwa elf 3 ila ni YA KWAKO TU
 
Mi nisawajuliaaa nawakopaaa songesha mapesaa na mpawa silipi....kulipa garama zangu
 
Yaani hapa MABAHARIA wote tulioumizwa na mtandao wa Tigo tuhamue kwa pamoja kwamba
.....sasa Tigo basi alafu tutaweka kiapo chetu ..
1...Mimi nilikuwa mtumiaji wa mtandao wa tigo
....kuanzia leo sitorudia tena kutumia mtandao
.....huu wa kitapeli Mungu nisaidie..
 
Back
Top Bottom