#COVID19 Malaria ndio inaua zaidi kuliko COVID19, mbona nguvu nyingi ziko kwenye COVID19


Toka shule ya msingi tunafundishwa malaria, mpaka mitihani tunajua swali la malaria au hiv lipo. Tunajua malaria ni nini inaambukizwaje na unajikinga vp, maeneo mengi yana mabango ya malaria Tv kila muda matangazo yanapita na hii imekuwa continuous tangu zamani . Leo hii unasema Malaria haitiliwi mkazo? Ni vyandarua vingapi vimegawiwa? Serikali ime subsdize vyandarua mpaka madawa ya malaria kama ALU sehem nyingine zinagawiwa bure ? Bado unasema malaria haitiliwi mkazo ? Au wewe binafsi ndo hauitilii mkazo ? Kuna movement nyingi sana za malaria na hii ni kila mara hata hii huoni ? Au unataka ukamatwe kwa nguvu uwekwe kwenye net ?..

Seriously una tatizo mahali
 
Unataka clinical trial data kwa chanjo ambazo zishakuwa administered kwa hundreds of million of people na kuna data zinazotokana na real life vaccination, si clinical trial?
Sasa bila data tuta evaluate vipi efficacy na safety yake?
 
Wanaochanjwa wanashauriwa wavae mask kwa sababu haijulikani wasiochanjwa wanazalisha variants gani mpya ambazo zitareact vipi na vaccines za sasa.
Here you are coming, hawana uhakika na efficacy yake, why...? Coz hakuna clinical trial iliyofanyika apart from vacconology theory za kwenye simulation, hence hawana uhakika hailindi au inalinda kwa kiwango gani au ina delay infection etc etc.
 
Ndiyo maana Marekani wanaolazwa mahospitalini kwa Covid zaidi ya 97% ni wasiochanjwa, na wanaokufa kwa Covid zaidi ya 99% ni wasiochanjwa.

.

How sure on this on long run without a trial study?
 
.

Ingewezekana wote wachanjwe siku moja, au hata 95% ya watu wangekuwa vaccinated siku moja, hizi new variants zingekuwa contained sana.

Lakini, kwa sababu kuna watu hawataki kuchanjwa, hilo lina maana kuna new variants zinaanzishwa kila siku.

Kama hii pandemic ilianza na case 1 the hundreds of thousands hiyo 5% isiyochanjwa kama ndio inazalisha variants ambayo chanjo haina uwezo nayo huoni ni zoezi ambalo halina mantiki maana huwez kuchanja 100% maana aliyechanjwa hawezi kulindwa ?
 
Nimekuelewa
 
COVID-19 imeua 4.2 million dunia nzima tangu ianze. Malaria inaua 400,000 dunia nzima kwa mwaka. Acha UONGOOOO... Kadanganye bibi zako kijijini...
 
Hujazuia kuweka nguvu kwa mambo yanayokusumbua. Sisi wenye pesa inatusumbua COVID-19.
 
Kama hii pandemic ilianza na case 1 the hundreds of thousands hiyo 5% isiyochanjwa kama ndio inazalisha variants ambayo chanjo haina uwezo nayo huoni ni zoezi ambalo halina mantiki maana huwez kuchanja 100% maana aliyechanjwa hawezi kulindwa ?
Ni muhimu sana twende kwa proportion.

Unaelewa kwamba hakuna kitu kama "100%", kwamba hiyo ni dhana ya kinadharia tu?

Unaelewa leo watu wanasema Polio imetokomezwa kwa chanjo, lakini hilo halimaanishi kwamba hakuna mtu anayeumwa Polio leo?

Unaelewa kwamba inawezekana hiyo 5% yako ambayo inakataa chanjo inaweza kutengeneza new variants zitakayoiua hiyo 5% mpaka 5% yote ikafa na 95% ikaendelea kuishi bila kuathirika?
 
COVID-19 imeua 4.2 million dunia nzima tangu ianze. Malaria inaua 400,000 dunia nzima kwa mwaka. Acha UONGOOOO... Kadanganye bibi zako kijijini...
Watanzania wangapi wanakufa kwa malaria kila mwaka ?

Tuanzie hapo, halafu ndio tuje hapo kwa Bibi zangu ulipoanzisha.
 
How sure on this on long run without a trial study?
What is "long run" ?

The Economist John Maynard Keynes was asked about the long run, you know what was his answer?

In the long run, we all die.

Kwani ukichanjwa maana yake hutakufa?
 
Idea ya chanjo but hatuna uhakika kama hii inafanya hivyo
Uko vitani, unaona unalengwa na risasi, unasubiri kamati ya ulinzi ikae na kutoa itifaki ya miezi sita ya kupitishwa na majenerali zitumwe kwako kukushauri jinsi ya kukwepa risasi. Utakufa!

Soma, jielimishe, uliza pointed questions.Tutakujibu. Ukileta ubishi napo sawa tu, ni haki yako ya kikatiba.
Na wala hatuhitaji kubishana nawe sana kuku convince upige chanjo, suala la usalama wako mwenyewe.

Kama hutaki kuchanja usichanje, kwani umelazimishwa? Si Majaliwa kasema chanjo ni hiyari? Umeambiwa lazima?

Umelazimishwa kuchanja?

Mimi natetea haki za wote wanaokataa kuchanjwa wasichanjwe. Hususan kwa sababu, wanaochanjwa, so far, wanalindwa dhidi ya kuumwa na kuwa hospitalized. Wasiochanjwa ndio wanaoumwa, wanaolazwa na wanaokufa.Marekani zaidi ya 97% ya wanaolazwa hospitali ni wasiochanjwa. Zaidi ya 99% wanaofariki ni wasiochanjwa.

Inawezekana kutochanjwa kwao kutasababisha vifo vingi vya wajinga na vizazi vyao kufutika, vizazi vinavyofuata vitakuwa na wajinga wachache zaidi.

Kama unaleta ubishi kwenye jambo linalosababisha vifo, mimi siwezi kukulazimisha usikifuate kifo.

Mimi nitakuelimisha tu, ukikataa elimu sina jinsi, itabidi upigwe tu.

Na mimi wala sitakulilia, kwa sababu utakuwa umeyataka mwenyewe.
 
Bado hakuna uhakika hizo ni nadharia tu ambazo zisizokuwa na uhakika maana hakuna uhakika wa kisayansi kuwa 5% haitatengeneza au itatengeneza variants wapya watakaomaliza 5% iliyobaki.


Swali langu la msingi.

Wewe unadhani kwanini FDA huko kwenu US hawajathibitisha uthabiti wa hizi chanjo ?
 
Haiui wazungu. Inaua Waafrika hakuna hasara
 
Unavyosema hivyo utadhani hii chanjo ukichanjwa haupati COVID-19
 
Nani kakwambia ishu ni elimu tu, mbona COVID hawajaishia kwenye elimu peke yake. Walikuja na Masks na Lockdowns watu wakapata umaskini , wamekuja na guidelines za kutupangia hadi muda wa kusali uote ndani ya mwaka mmoja.

We unadhani Malaria ingepewa mkazo mkubwa kama corona leo hii si ingekuwa historia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…