Malasusa awa askofu mkuu KKKT, lakini walutheri wengi hawana furaha na amani, nini shida?


Sahau kitu cha namna hiyo! Labda tupe data zinazoonyesha kuwa waluteri wengi wanamchukia kuliko wanaomkubali, vinginevyo unaota tu ndoto mchana!
 
Hivi kanisani unamfuata nani...Malasusa??

Unakwenda kumwabudu Nani...Malasusa?

Siwezi kuacha kwenda kanisani kwa sababu ya Askofu...

Namfuata Kristo na siyo m
Malasusa
You are dead wrong! Wakuu wa kanisa wakipotea na kanisa nalo linapotea. Huwezi kwenda kusali kwa kiongozi mwenye makandokando kibao eti kwa sababu unamfuata Kristo. Kristo anakuwa kwenye kanisa lenye viongozi wapotevu? Unachotakiwa kufanya ni kumuondoa kwanza yule kiongozi ndiyo uende kanisani. Halafu jaribu kutumia akili kidogo.... ukisusa kwenda kanisani kwa kipindi kifupi tu huyo askofu ni lazima ataachia ngazi. Kitendo cha kusema hutaacha kwenda kanisani ndicho kitakachofanya aendelee kuwepo, na kuwafanya viongozi wengine wabovu kuendelea kuchaguliwa siku zijazo.
 
Majiz ya CCM yamefundisha hata wizi wa kura kwenye chaguzi za kidini
 
Malasusa na Tulia ni Mapacha wa tabia katika majukwaa tofauti
 
Mimi sikujua kama Bagonza anakadi ya CHADEMA hali kadhalika sikujua kama Malasusa anakadi kama yangu ya Tawala. Hongereni wa michongo kumbe CCM imeibuka kidedea madhabahuni penu!

Unatakiwa kujua sasa!
 
Nilipenda KKKT mimi ila malasusa alichomfanyia Mwaikali na kumtukana prof Mwakihaba mruteli mnyoofu yule nikahamia rasmi kanisa la kirutheli Africa mashariki. Bagonza anasubiri nini ?
Nani analiongoza hili kanisa la kilutheli Afrika Mashariki. Wapo zaidi kama walokole au ni RC?
 

Hayo mawazo yako ni mfu, hakiwezi kutokea kitu cha namna hiyo nchi nzima maana huyu ni Askofu Mkuu sasa!
 

Issue tofauti hii mbinu ingetupatia viongozi wazuri pia kwenye siasa.

Mfano nchi nzima including polisi, wanajeshi, Usalama wa Taifa, wafanyabiashara, waajiwa wote sekta ya umma na binafsi wakasusa kwenda kazini kama wiki mbili tu inatosha kuangusha serikali yoyote iliyoziba masikio.
 
KKKT halina Tofauti na Makanisa ya Watu BINAFSI kama Ufufuo au la Mzee wa Upako
 
Tayari mjadala wa DPW umeachwa, sasa tunamjadili malasusa ambaye tayari ameshachaguliwa na hatuwezi kumtoa madarakani mpk muda wake upite, tukishtuka tunajikuta tayari ni vibarua kwenye na manamba ktk mashamba ya waarabu.
 
Tayari mjadala wa DPW umeachwa, sasa tunamjadili malasusa ambaye tayari ameshachaguliwa na hatuwezi kumtoa madarakani mpk muda wake upite, tukishtuka tunajikuta tayari ni vibarua kwenye na manamba ktk mashamba ya waarabu.
Jidanganye. DP world mjadala wake ndio umeanza.
 


"3. Skendo mbaya ya Uzinzi ya miaka kadhaa ya nyuma (Askofu Malasusa alihusishwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mchungaji mmoja wa kike ambaye alikuwa mke wa mtu, na mwenye mke alikuwa akipambania arejeshewe mke wake)"

Ujinga huu.... Kwani si mmemchagua au?
 
huu ni mkakati maalaum wa kidola..wamefanikiwa..
 
Mkuu unaelekea wewe umewahusisha rafiki zako wachagga(Mch ukijihusiha na Kimaro).
Nikuulize tu swali moja na fanya utafiti wako.
Askofu Frederick Shoo, unajua kuwa si mnafiki kama ninyi na anakunywa safari yake bardi kama akipenda?
Mengine ni majungu yanayotokana na chuki binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…