Malasusa awa askofu mkuu KKKT, lakini walutheri wengi hawana furaha na amani, nini shida?

Wewe ndiyo uko dead wrong.
Kanisa limekuwepo kwa miaka 2000, la Kilutheri hapa Tanzania limekuwepo around 100 years.
Kanisa lipo, litakuwepo na litaendelea kukua, irrespective na Bishop aliyepo juu.
 
Wewe ndiyo uko dead wrong.
Kanisa limekuwepo kwa miaka 2000, la Kilutheri hapa Tanzania limekuwepo around 100 years.
Kanisa lipo, litakuwepo na litaendelea kukua, irrespective na Bishop aliyepo juu.
Sasa wanalalamika nini? Kama wameshakubali kuwa hata ''shetani'' anaweza kuongoza kanisa lao basi waache kulalamika
 
Sahau kitu cha namna hiyo! Labda tupe data zinazoonyesha kuwa waluteri wengi wanamchukia kuliko wanaomkubali, vinginevyo unaota tu ndoto mchana!
Umedandia thread ndiyo maana. Mimi nimewapa tu njia ya kufanya badala ya kulalamika. Upande upi una wafuasi wengi hilo mimi sina interest nalo. Na siyo hilo kanisa tu. Hata serikali wananchi wana wajibu wa kuchukuwa hatua pale wanapoona viongozi hawakidhi matakwa yao. Vinginevyo tuache kulalamika lalamika.
 
πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰ KKAM (KANISA LA KILUTHERI LA AFRICA MASHARIKI) πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Wazee wa kunyemelea mtu kwa nyuma mkono udondoke wauokote...πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ€­πŸ€­
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…