Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Wewe ndiyo uko dead wrong.You are dead wrong! Wakuu wa kanisa wakipotea na kanisa nalo linapotea. Huwezi kwenda kusali kwa kiongozi mwenye makandokando kibao eti kwa sababu unamfuata Kristo. Kristo anakuwa kwenye kanisa lenye viongozi wapotevu? Unachotakiwa kufanya ni kumuondoa kwanza yule kiongozi ndiyo uende kanisani. Halafu jaribu kutumia akili kidogo.... ukisusa kwenda kanisani kwa kipindi kifupi tu huyo askofu ni lazima ataachia ngazi. Kitendo cha kusema hutaacha kwenda kanisani ndicho kitakachofanya aendelee kuwepo, na kuwafanya viongozi wengine wabovu kuendelea kuchaguliwa siku zijazo.
Kanisa limekuwepo kwa miaka 2000, la Kilutheri hapa Tanzania limekuwepo around 100 years.
Kanisa lipo, litakuwepo na litaendelea kukua, irrespective na Bishop aliyepo juu.