Pre GE2025 Malasusa hakuanza leo kuwa mwana CCM, alishajitenga na dini akabakia kwenye siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwan kuna aliewahi kushangaa Askofu shoo kuwa mwanachadema na bagonza mshabiki wa siasa alie makini sana maoni yake yakizingatia zaidi upepo wa siasa unapoelekea?πŸ’

mbona unahemka?

au ndio mkuki kwa ngurue kwa binadamu mchungu πŸ’

mlijisahau kwamba uaskofu ni wa milele πŸ’
 
Leo mtalala na viatu .maana raha yenu na mabi yenu ya kishetani mnatakaga kuona serikali yetu na viongozi wetu wakishambuliwa na kutukanwa bila sababu. Sasa mkiona mambo yamekuwa kinyume chake na nje na matarajio yenu mnaanza kuweweseka kama wagonjwa. Kaeni kwa kutulia hivyo hivyo.
 
Ni heri mtu yule afanyaye kazi ya Mungu kuliko anayefanya kazi ya Shetani , asema Bwana .
ila lile liV8 mlilompa askofu shoo mwanangu dah πŸ’ͺπŸ™πŸ‘πŸ‘ŠπŸ‘Œ

nimekubali mnajali sana viongoxi wa dini πŸ’
 
Mwaka huu mtakufa kwa presha maana hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kuunga mkono ujinga wa CHADEMA. Kaeni kwa kutulia tu mpaka akili ziwarudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…