Malasusa unachoifanyia Dayosisi yako Mungu atakulipa

Sijasikia huo mchango usharikani kwangu, ukija sitachanga, michango imekuwa mingi mno. Saa hizi sharika zingine haziwezi hata kujiendesha, kila sadaka inayokusanywa 25% inaenda dayosisi, huko dayosisi sijui kuna miradi gani jamani....
Donda lingine ni sadaka ya mfuko wa elimu.... sijui ina kazi gqmi ile sadaka manake shule zenyewe sioni hata zikifanya vizuri
 
Ni kweli kkkt kuna shida. Kuna Kanisa flani unaweka zile fedha za ahadi kwenye bahasha yake, uwakili kwenye bahasha yake ukirudi jpili inayofuata unakuta wamekata elfu 5 kwenye kila bahasha. Hata ukiandika mwenyewe wanakata wanaweka hela wanayotaka wao ambayo ni pungufu. Makanisa ya kkkt mnatutesa jamani. Acheni uroho wa hela hivyo
 
Huyo kada wa ccm hela alimpa meko
 
Kiongozi kwani kila kitu ni cha kupeleka mitandaoni? Mengine si maliza katika ngazi zenu? Kuyaleta hapa unaongeza faida kwa kanisa lako? Huo mchango mmelazimishwa?
Ukiona yamefika huku ujue mmeshindwa kuyamaliza
 
Hapo Yesu hakumaanisha kanisa Kama jengo......kuweni makini kule chuoni mlie da kusoma nini

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
HuyoAskofu malasusa naona deni lake ni dogo sana Dayosisi ya Konde kuna Askofu mmoja alikuwa anaitwa Askofu Mwakyolile daaah😁😁🙌🙌, sijui bado yupo kwenye dayosisi ile
 

Achaa ikuume tu hamna namna na ukituma tunakata tozo
 
Nasubiri walete hilo deni usharikani kwangu. Sitachangia hata 100. Hiyo sadaka badala yake nitapekeka kwa wahitaji. Kwanza huyu si ndiye alikuwa na kashfa ya ngono na mke wa mtu,,? Naombeni mods mfukie ule Uzi.
Aondoke achaguliwe Askofu Mwingine.

Azania Front tu sadaka ni kubwa. Na ikumbukwe pia kuna asilimia zinakatwa kila mapato ya wiki ya usharika na yanapelekwa huko.
The greed Lucifers.
 
Kanisani kumevamiwaa na majambazi
Yanaanza kutoa hofu kwa waaumini

Michango inapoteza waumini wengi kanisani..viongozi jitafakalini
 
Shoo kada wa chadema aliwachangisha wana dayosisi ya kaskazini zaidi ya bilion 2 mpaka wakaota vipara. Vipi yeye alimkabidhi Mbowe?
Walilipia madeni likiwemo la Corridor Springs Hotel ambalo lilikuwa na mkataba wa kulipwa kwa dola walipokopa miaka ya nyuma.Hilo ni jambo jema hotel hii ni kitega uchumi cha kanisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…