Malawi: Mahakama ya Katiba yabatilisha matokeo ya Uchaguzi wa Urais wa nchi hiyo uliofanyika Mei 21 mwaka 2019

Malawi: Mahakama ya Katiba yabatilisha matokeo ya Uchaguzi wa Urais wa nchi hiyo uliofanyika Mei 21 mwaka 2019

Siyo kila aina ya ujinga ni wa kuiga, hapo kodi za wanachi zinaenda kuteketea kwa mambo ya kipumbavu
Hili ni fundisho kwa mahakama zetu kuwa huru. Ingekuwa hapa ungesikia ooh mgogoro wa kikatiba na blabla zingine. Suala tu la madedi mahakama zetu hazikuonesha weledi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1345672

Mahakama ya Katiba nchini Malawi leo Februari 3, 2020 imebatilisha Matokeo ya Urais ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Mei 2019 kutokana na kasoro kwenye uchaguzi huo.

Wananchi wametanda mitaani na kulipuka kwa shangwe kusherehekea uamuzi huo wa mahakama.

Uchaguzi utarudiwa ndani ya siku 150 kuanzia leo kulingana na matangazo ya Tume ya Uchaguzi.
Hawa kweli walijisahau. Ukitaka kughushu basi fabya kwa akili. Yaani unabadilisha namba kama mtoto wa darasa la kwanza! Kiburi hiki ndicho kinaleta matatizo katika nchi zetu za Kiafrika kwa vyama vilivyoko madarakani.
 
Sasa Mahakama zetu zijifunze kipi kutoka kwa Mahakama za Malawi. Mahalama inatenda kwa Mujibu wa nguvu ilizopewa na Katiba, kama kuna chombo cha kujifunza hapo ni bunge, siyo Mahakama.
Bunge libadili hicho kipengele cha Katiba ili kuruhusu matokeo ya uchaguzi wa rais kuhojiwa au kupingwa Mahakamani.
Mkuu nimegusia suala la madedi kusimamia uchaguz .hilo ni dogo sana kuliko kuhoji matokeo. Hili nalo wasubiri bunge kweli kulitolea uamuzi
 
Sisi tumezingirwa na madikteta who make Kenya look good despite being a shithole!
Way to go Malawi 🇲🇼
 
Taarifa nilizozipata kutoka marawi nikwamba kati ya madai 16 waliyolalamika tayari yamepiriwa madai 12 naimebainika kuwa niuongo! Na mpaka sasa uhakiki unaonyesha kwa mujibu wa matokeo yatume bado mshindi niyuleyule alitangazwa na tume! Kwani 79% ya uhakiki yanambeba msgindi!.
 
Sasa Mahakama zetu zijifunze kipi kutoka kwa Mahakama za Malawi. Mahalama inatenda kwa Mujibu wa nguvu ilizopewa na Katiba, kama kuna chombo cha kujifunza hapo ni bunge, siyo Mahakama.
Bunge libadili hicho kipengele cha Katiba ili kuruhusu matokeo ya uchaguzi wa rais kuhojiwa au kupingwa Mahakamani.
Mahakama zetu ni janga! Chukulia ubunge wa Singida na maamuzi yake ambayo katiba inazipa mahakama mamlaka. Utadhani jaji ni wa 'jalalani'.
 
Katiba yao ina ruhusu,na sisi katiba ingeruhusu na mahakama ikajiridhisha kuna shida ingetengua tu mkuu.

macson
[/QUOTEMaamuzi ya jimbo la Sngida unayajua?
Usitetee kisichotetewa!
 
Mahakama ya Kikatiba nchini Malawi, imefuta matokeo ya Uchaguzi wa Rais uliofanyika mwezi Mei, 2019 na kumuweka madarakani Rais Peter Mutharika. Mahakama hiyo imesema Uchaguzi huo haukuwa huru na wa haki. #CloudsDigitalBreakingNews
tamsana uko uptodate sana, kwani nilipoipta hii kutoka Reuters ingali mbichi nikasema niilete breaking news nikakuta umeshaifikisha.

World News
February 3, 2020 / 12:07 PM / Updated an hour ago
Malawi court annuls President Mutharika's 2019 election victory

Frank Phiri
3 Min Read

LILONGWE (Reuters) - Malawi’s Constitutional Court on Monday annulled the May 2019 presidential vote that declared Peter Mutharika a winner and ordered a re-run after an application from opposition parties citing irregularities.

1580761923516.png

FILE PHOTO: Malawi's President Peter Mutharika arrives at the UK-Africa Investment Summit in London, Britain January 20, 2020. REUTERS/Henry Nicholls

Mutharika, Malawi president since 2014, won the election with a 38.57% share of the vote, with opposition party leader Lazarus Chakwera getting 35.41% and Deputy President Saulos Chilima, who formed his own party, had 20.24% in the final tally.

The electoral commission declared Mutharika the winner despite complaints of irregularities including results sheets with sections blotted out or altered with correction fluid.

Mutharika had pledged to crack down on corruption and revive the economy in his second five-year term.

But Chakwera, the president’s main rival, and Chilima rejected the results and filed a petition to the High Court asking it to nullify the results.

In a unanimous decision, a panel of five judges ordered that a new presidential vote be held within 150 days.


“It is almost impossible to have an election free of irregularities,” said Justice Healey Potani, who headed the panel. “However, in the present matter our finding is that the anomalies and irregularities have been so widespread, systematic and grave such that the integrity of the result was seriously compromised, and can’t be trusted as the will of voters of the May 21, 2019 election.”

In a landmark ruling for the country, the court describe the conduct of the electoral commission as “very lacking and demonstrated incompetence”.

The status in the presidency would revert to before the elections, Potani said, which meant Chilima would be reinstated as vice president.

The court also directed Parliament to consider recalling the current electoral body, which is headed by Supreme Court of Appeal Judge Jane Ansah, to “ensure smooth conduct of fresh elections.”

The streets in Lilongwe and the commercial capital Blantyre were unusually quiet ahead of the ruling, and many businesses were shut, fearing violence and looting from supporters of the losing side.

Security forces were out on the streets in large numbers, and the judges delivering the verdict were flown in on a military plane and arrived at the venue in armoured vehicles.


Malawi, a lakeside nation on the southern tip of the Great Rift Valley, is dependent on foreign aid and is frequently beset by drought which threatens the lives of thousands of people.

Former law professor Mutharika, 79, oversaw infrastructure improvements and a slowdown in inflation in his first five-year term, but critics accuse him of cronyism and failing to tackle graft.

Reporting by Frank Phiri; Editing by Grant McCool and Lisa Shumaker
Our Standards:The Thomson Reuters Trust Principles.
 
Sisi ndio kielelezo Afrika....
Afrika ina mengi ya kujifunza kutoka Kenya....
Naona hata Tanzania hivi karibuni watatuiga News Alert: - Freeman Mbowe: Mapendekezo ya marekebisho muhimu ya Katiba na Sheria ili kuwezesha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020 kuwa huru, wa haki na halali
Kielelezo cha kuuana kwenye uchaguzi. Kielekezo cha kumpata rais aliyeshiriki vurugu zilizomwaga damu ya raia aliokuja kuongoza. Kielelezo cha ugaidi. Kielelezo cha njaa kali, hata unga wa mahindi hakuna. Flying toilets. No thank you, hatuwezi kutafuta kielelezo tukaichagua Kenya.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Nchi maskini ya kutupwa kazi kupoteza pesa kwenye uchaguzi.. Demokrasia imefeli hii imethibitka time and again.
 
Back
Top Bottom