Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,823
- 3,816
Watanzania ni [emoji706] upande wa kudai haki na usawa.
Unataka tumwage damu ama unataka nini ? Watanzania tunapenda Amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania ni [emoji706] upande wa kudai haki na usawa.
Usifananishe Tanzania na vitu vya hovyo
Unajua kuwa Ccm ndio chama bora zaidi Africa ! na cha pili duniani kwa ubora !
Mtu ambaye siyo mwanachama anapatiwaje fomu? Unaweza kuingia uwanjani ukachezea timu ambayo hujasajiliwa?Mkisha twambia nilini mnampatia Membe form nasi tutakujibu swali lako ingawa tayari una jibu
Iliwachukua wananchi wa Malawi miezi kama 3 kupigania tume huru kwa maandamano ya hatari mpk wakaipata.
Sasa hapa tunajipa moyo wkt boss wa NEC ni type za wakina Jecha ambao wakistaafu wanaenda kugombea urais kupitia CCM.
TUACHE KUJIDANGANYA.
Afrika inaamka walianza Kenya, wakafata Zambia, ikafata DRC, baadae Malawi, S.A wakamuondoa mwenyekiti wa chama ANC , Zimbabwe wakamwengua Mugabe, Gabon Yahya Jammeh out, guess who is next??Mgombea wa Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Malawi (MCP) Dr. Lazarus Chakwera anaongoza kura kwa zaidi ya 60% dhidi ya Prof. Peter Mutharika anayetakiwa kuondoka Ikulu ya Malawi wakati wowote kuanzia sasa.
Hatua hii ni baada ya Mahakama kutengua Ushindi wa hujuma uliofanywa na Serikali ya Chama tawala cha DPP chini ya Prof. Peter Mutharika anayeondolewa Ikulu.
Malawi wamemaliza Kazi yao!
Muda ni hakimu mzuri, watanzania tujiandae kuyapokea mageuzi ya kiuongozi.
Sasa huo umma ndio upo huku mitandaoni.Kutoka itatoka tu kwa nguvu ya umma
Chama Cha Manduli watatumia jeshi, polisi, mgambo na silaha zote za kivita ili kuiba kura.
Nduli mkuu haoni hasara hata akiua nusu ya nchi ili yeye atawale milele
Mungu ibariki MalawiMgombea wa Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Malawi (MCP) Dr. Lazarus Chakwera anaongoza kura kwa zaidi ya 60% dhidi ya Prof. Peter Mutharika anayetakiwa kuondoka Ikulu ya Malawi wakati wowote kuanzia sasa.
Hatua hii ni baada ya Mahakama kutengua Ushindi wa hujuma uliofanywa na Serikali ya Chama tawala cha DPP chini ya Prof. Peter Mutharika anayeondolewa Ikulu.
Malawi wamemaliza Kazi yao!
Muda ni hakimu mzuri, watanzania tujiandae kuyapokea mageuzi ya kiuongozi.
Pimbi kweli wewe,yaani Malawi watu wa hovyo kivipi ?use common sense.Usifananishe Tanzania na vitu vya hovyo
Unajua kuwa Ccm ndio chama bora zaidi Africa ! na cha pili duniani kwa ubora !
Kwa style hii ya kutegemea wagombea kutoka ccm,wapinzani kuunga mkono juhudi za chama cha mapinduzi n.kAfrika inaamka walianza Kenya, wakafata Zambia, ikafata DRC, baadae Malawi, S.A wakamuondoa mwenyekiti wa chama ANC , Zimbabwe wakamwengua Mugabe, Gabon Yahya Jammeh out, guess who is next??
Nyerere alikuwa mshenzi tu nashangaaga watu wanaomsifia. Kama uhuru hajaleta yeye ilikuwa ni matakwa ya UN kukomesha ukoloni duniani kote alikuwa hana ubavu wa kuwaondoa wakoloni. Kifupi alikuwa dikteta tu.Wa kulaumiwa ni Nyerere ndie aliyetuletea hii mifumo mibovu ya uongozi,Kama mtawala anakuwa juu ya katiba huku kapewa madaraka yote unategemea nn kwann asiswage watu katiba Ina mruhusu.
Eti Kinga ya kutoshtakiwa then utegemee maendeleo,haki, demokrasia, katiba inawaruhusu hata kuongoza watu Kama Mali yao binafsi
Ni hujuma tu. Zinafanyika afrika nzimaKwa style hii ya kutegemea wagombea kutoka ccm,wapinzani kuunga mkono juhudi za chama cha mapinduzi n.k
Inawezekana kabisa. Hali inaonesha kakataliwa amebaki anapemdwa na mapolisi na vile vyombo vingine.Kwahiyo Jpm amebakila miezi watanzania wamtose.
Kama.unaamini tunaweza kumwondoa 2025 basi jua wakati wake ni sasa. Mapolisi wanaelekea kukata pumzi baada ya kushindwa kazi waliyotumwa kuzima upinzani nchi nzima.Yaani tumtoe ikulu Magufuli halafu tumuweke nani, Mbowe, Lissu, Msigwa au Nyarandu? hii itakuwa wendawazimu kabisa kwa sasa tuacheni, mkajipange vizuri tukutane 2025.
Mgombea wa Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Malawi (MCP) Dr. Lazarus Chakwera anaongoza kura kwa zaidi ya 60% dhidi ya Prof. Peter Mutharika anayetakiwa kuondoka Ikulu ya Malawi wakati wowote kuanzia sasa.
Hatua hii ni baada ya Mahakama kutengua Ushindi wa hujuma uliofanywa na Serikali ya Chama tawala cha DPP chini ya Prof. Peter Mutharika anayeondolewa Ikulu.
Malawi wamemaliza Kazi yao!
Muda ni hakimu mzuri, watanzania tujiandae kuyapokea mageuzi ya kiuongozi.
Kwa kura za wizi. Kama mingekuwa Magufuli ningeona aihu kugombe tena. Amefanya siasa na kampeni kwa miaka yote mitano na bado hakubaliki. Bila nguvu ya jeshi na vyombo vya kifedhuli hakika angeona cha moto october 2020Kwa upinzani huu mtasubiri miaka 25 kutoka sasa
Kipimo tukutane Oktoba 25 sanduku la kura likitoa majibu