Malawi wameweza, Tanzania tunafuatia

Malawi wameweza, Tanzania tunafuatia

Lakini ukumbuke MCP kilikuwa chama tawala hadi wakati wa Dr Kamuzu Banda. Kinarudi madakarakani kwa mara ya 2.
Kama kina rudi basi hicho ni chama cha upinzani tu
 
Mkisha twambia nilini mnampatia Membe form nasi tutakujibu swali lako ingawa tayari una jibu
Mtu ambaye siyo mwanachama anapatiwaje fomu? Unaweza kuingia uwanjani ukachezea timu ambayo hujasajiliwa?
 
Hahahahaahahahaa
Iliwachukua wananchi wa Malawi miezi kama 3 kupigania tume huru kwa maandamano ya hatari mpk wakaipata.

Sasa hapa tunajipa moyo wkt boss wa NEC ni type za wakina Jecha ambao wakistaafu wanaenda kugombea urais kupitia CCM.

TUACHE KUJIDANGANYA.
 
Mgombea wa Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Malawi (MCP) Dr. Lazarus Chakwera anaongoza kura kwa zaidi ya 60% dhidi ya Prof. Peter Mutharika anayetakiwa kuondoka Ikulu ya Malawi wakati wowote kuanzia sasa.

Hatua hii ni baada ya Mahakama kutengua Ushindi wa hujuma uliofanywa na Serikali ya Chama tawala cha DPP chini ya Prof. Peter Mutharika anayeondolewa Ikulu.

Malawi wamemaliza Kazi yao!

Muda ni hakimu mzuri, watanzania tujiandae kuyapokea mageuzi ya kiuongozi.
Afrika inaamka walianza Kenya, wakafata Zambia, ikafata DRC, baadae Malawi, S.A wakamuondoa mwenyekiti wa chama ANC , Zimbabwe wakamwengua Mugabe, Gabon Yahya Jammeh out, guess who is next??
 
Mungu ibariki Malawi
 
Afrika inaamka walianza Kenya, wakafata Zambia, ikafata DRC, baadae Malawi, S.A wakamuondoa mwenyekiti wa chama ANC , Zimbabwe wakamwengua Mugabe, Gabon Yahya Jammeh out, guess who is next??
Kwa style hii ya kutegemea wagombea kutoka ccm,wapinzani kuunga mkono juhudi za chama cha mapinduzi n.k
 
Wa kulaumiwa ni Nyerere ndie aliyetuletea hii mifumo mibovu ya uongozi,Kama mtawala anakuwa juu ya katiba huku kapewa madaraka yote unategemea nn kwann asiswage watu katiba Ina mruhusu.
Eti Kinga ya kutoshtakiwa then utegemee maendeleo,haki, demokrasia, katiba inawaruhusu hata kuongoza watu Kama Mali yao binafsi
Nyerere alikuwa mshenzi tu nashangaaga watu wanaomsifia. Kama uhuru hajaleta yeye ilikuwa ni matakwa ya UN kukomesha ukoloni duniani kote alikuwa hana ubavu wa kuwaondoa wakoloni. Kifupi alikuwa dikteta tu.
 
Yaani tumtoe ikulu Magufuli halafu tumuweke nani, Mbowe, Lissu, Msigwa au Nyarandu? hii itakuwa wendawazimu kabisa kwa sasa tuacheni, mkajipange vizuri tukutane 2025.
Kama.unaamini tunaweza kumwondoa 2025 basi jua wakati wake ni sasa. Mapolisi wanaelekea kukata pumzi baada ya kushindwa kazi waliyotumwa kuzima upinzani nchi nzima.
 
Mgombea wa Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Malawi (MCP) Dr. Lazarus Chakwera anaongoza kura kwa zaidi ya 60% dhidi ya Prof. Peter Mutharika anayetakiwa kuondoka Ikulu ya Malawi wakati wowote kuanzia sasa.

Hatua hii ni baada ya Mahakama kutengua Ushindi wa hujuma uliofanywa na Serikali ya Chama tawala cha DPP chini ya Prof. Peter Mutharika anayeondolewa Ikulu.

Malawi wamemaliza Kazi yao!

Muda ni hakimu mzuri, watanzania tujiandae kuyapokea mageuzi ya kiuongozi.

Joyce lazima atuambie Mbowe alifanya nn mguu wake, then you may proceed with ur dream, sbb mnaweza kupewa Ikulu mkavunjana miguu na mikono wenyewe just overnight alafu mletee taifa matatizo..
 
Kwa upinzani huu mtasubiri miaka 25 kutoka sasa
Kipimo tukutane Oktoba 25 sanduku la kura likitoa majibu
Kwa kura za wizi. Kama mingekuwa Magufuli ningeona aihu kugombe tena. Amefanya siasa na kampeni kwa miaka yote mitano na bado hakubaliki. Bila nguvu ya jeshi na vyombo vya kifedhuli hakika angeona cha moto october 2020
 
Back
Top Bottom