Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Hataki kupiga kavu 😂Kuna jamaa alikuwa anahojiwa BBC yule mfupi ana watoto sita ,eti anaomba asije kuzaa mwingine kwamba hajui 😂😂jinsi ya kuzuia kuzaa!?
Anasema maisha yalimpiga na kulelea familia mpaka akataka kujiua.