G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,625
- 8,639
Elimu Bora ndiyo ipi? Kwa namna moja ama nyingine utakua unamaanisha zile elimu za watoto wanao ongea ki-English siyo? Naamini hivyo na pole sanaKwa maisha ya sasa sioni kama kuna tija ya kuzaa watoto wengi ni bora watoto wachache ambao utaweza kuwapatia mahitaji yao ya msingi, chakula, malazi, mavazi, furaha na elimu bora.
Mbaya zaidi unakuta mtu ana watoto wengi ambapo yeye anateseka na watoto pia wanateseka kwa kukosa mahitaji yao msingi.
Unakuta mstaafu ana watoto watu wazima na familia zao ila bado yeye anaendelea kuzaa tu.
Ushauri zaa kiasi upate muda na fedha za wewe kujinafasi na mkeo.