Malengo ya Mbio za Mwenge yabadilishwa, Sasa hivi wanauzungusha tu na kufanya Matamasha

Malengo ya Mbio za Mwenge yabadilishwa, Sasa hivi wanauzungusha tu na kufanya Matamasha

Eti kawaalika wasanii waje wamsadie kupokea mwenge

Kina baba level , diamond nk wote wako pangani kukeshq na mwenge

Wilaya nzima Ina watu elf 70

Nimeambiwa wamelipwa milioni 600 jamaa wafanye show wilaya nzima.

Pesa ametoa wapi ,kunajipyq gan kwenye mwenge

Ikumbukwe kuwa jamaa hajawai kufanya Kaz yoyote Toka amalize chuo alitoka Moja kwa moja akawa mbunge Kisha waziri
IMG_20240416_213300.jpg
 
Rekebisha kichwa cha uzi..

Waziri wa Maji..

ila ndani ya uzi kuna issues za mwenge, gharama za kuwalipa wasanii,

kuna issues za kwamba kuna watu wametoka shule waka unga ubunge.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
 
Rekebisha kichwa cha uzi..

Waziri wa Maji..

ila ndani ya uzi kuna issues za mwenge, gharama za kuwalipa wasanii,

kuna issues za kwamba kuna watu wametoka shule waka unga ubunge.
😂😂
 
Eti kawalika wasanii waje wamsadie kupokea mwenge

Kina baba level , diamond nk wote wako pangani kukeshq na mwenge

Wilaya nzima Ina watu elf 70

Nimeambiwa wamelipwa milioni 600 jamaa wafanye show wilaya nzima .
Pesa ametoa wapi ,kunajipyq gan kwenye mwenge

Ikumbukwe kuwa jamaa hajawai kufanya Kaz yoyote Toka amalize chuo alitoka Moja kwa moja akawa mbunge Kisha waziri View attachment 2965703
🤣🤣🤣
 
Pangani kwetu moja ya wilaya maskini,duni isiyo na miundomsingi yoyote ya maana ya maendeleo kuanzia uchumi hadi elimu inaburudishwa na Domo kwa fedha zinazoweza kuwanunulia boti kadha za uvuvi na kuanzisha mashamba ya karafuu,iliki na amdalasini na huyu ndie waziri wa maji 😡
 
Pangani kwetu moja ya wilaya maskini,duni isiyo na miundomsingi yoyote ya maana ya maendeleo kuanzia uchumi hadi elimu inaburudishwa na Domo kwa fedha zinazoweza kuwanunulia boti kadha za uvuvi na kuanzisha mashamba ya karafuu,iliki na amdalasini na huyu ndie waziri wa maji [emoji35]
Anjiita mtoto wa mama ntilie

Tapeli tu
 
Mbio za mwenge zimekuwa mashindano ya kuleta wasanii . Bibi kaleta kundi kubwa la wasanii na Bwana naye kaleta wa lkwake na coaster.
 
Ndiyo yupi ktk hao?maana zaidi ya diamond hakuna niliyemjua hapo
 
Pangani kwetu moja ya wilaya maskini,duni isiyo na miundomsingi yoyote ya maana ya maendeleo kuanzia uchumi hadi elimu inaburudishwa na Domo kwa fedha zinazoweza kuwanunulia boti kadha za uvuvi na kuanzisha mashamba ya karafuu,iliki na amdalasini na huyu ndie waziri wa maji 😡
Leo kuna Pangani Festival huko
 
Back
Top Bottom