Malengo ya Mbio za Mwenge yabadilishwa, Sasa hivi wanauzungusha tu na kufanya Matamasha

Malengo ya Mbio za Mwenge yabadilishwa, Sasa hivi wanauzungusha tu na kufanya Matamasha

Kweli kabsa. Mwenge umebaki kuwanyanyasa watumishi na michango. Nothing new
 
Jambo hili jipya limeonekana Msimu huu baada ya mbio hizo kujaza Wasanii na matapeli maarufu kutoka D'Salaam kila unapokuwepo Mwenge huo


Katika uchunguzi wetu hatujaona miradi yoyote inayozinduliwa na mwenge huo unaoitwa wa Uhuru , zaidi ya kuona sare zenye picha ya Rais na gwaride la Askari na baadaye kushuhudia Burudani ya muziki , siku inayofuata wanahamia pengine hatuoni kitu kingine


Picha hii hapa ni vijana wa D'salaam akiwemo Haji Manara ambaye hajui kuimba na haijulikani naye Amefuata nini huko pangani , ambako badala ya kuonyesha miradi ya Maendeleo vyombo vya habari vya Tanzania vinamuonyesha Mama mzazi wa Juma Aweso akimsifia na kuelezea Tabia za Mwanaye , haijulikani kama huo nao ni mradi au ni nini na wala haijulikani ni kwanini Mama Aweso apewe Airtime kwenye masuala ya Mwenge wa Uhuru ulioanzishwa na Nyerere .

Ukatupwe kabisa huko Jumbo la Makumbusho pale Kijitonyama
 
Back
Top Bottom