heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Mambo ya mwenge ndo maana wendazae aliyagomea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mwenye ubavu wa kugomea Mwenge... HAYUPOMambo ya mwenge ndo maana wendazae aliyagomea
Ndo kilichomkutaHakuna mwenye ubavu wa kugomea Mwenge... HAYUPO
Hivi mwenge kwenda Pangani umemfuata Aweso au Wananchi ? yaani viongozi wa ccm wanajidanganya sana , aweso anadhani ule mwenge umemfuata yeye na familia yake .Eti kawalika wasanii waje wamsadie kupokea mwenge
Kina baba level , diamond nk wote wako pangani kukeshq na mwenge
Wilaya nzima Ina watu elf 70
Nimeambiwa wamelipwa milioni 600 jamaa wafanye show wilaya nzima .
Pesa ametoa wapi ,kunajipyq gan kwenye mwenge
Ikumbukwe kuwa jamaa hajawai kufanya Kaz yoyote Toka amalize chuo alitoka Moja kwa moja akawa mbunge Kisha waziri View attachment 2965703
Hapakuwa na mbio za mwenye wakati wa mwndazake? Au ni kipindi cha corona ndio mwenge haukukimbizwa?Mambo ya mwenge ndo maana wendazae aliyagomea
Aibu sana ! Yaani Aweso kajimilikisha Mwenge , kwamba Pangani yote ni mabwege ila yeye tu !Ehh fiesta tena la wakata uno
Ova
Wanajua kuwa hawana mvuto, ni kung'ang'ania na kulazimisha mambo tuKwahiyo Na Mwenge wamepeleka wasanii kuvutia Watu?
Mwenge hauvutii tena?
Lengo ilikua nini mimi sijafahamu?Jambo hili jipya limeonekana Msimu huu baada ya mbio hizo kujaza Wasanii na matapeli maarufu kutoka D'Salaam kila unapokuwepo Mwenge huo
Katika uchunguzi wetu hatujaona miradi yoyote inayozinduliwa na mwenge huo unaoitwa wa Uhuru , zaidi ya kuona sare zenye picha ya Rais na gwaride la Askari na baadaye kushuhudia Burudani ya muziki , siku inayofuata wanahamia pengine hatuoni kitu kingine
Picha hii hapa ni vijana wa D'salaam akiwemo Haji Manara ambaye hajui kuimba na haijulikani naye Amefuata nini huko pangani , ambako badala ya kuonyesha miradi ya Maendeleo vyombo vya habari vya Tanzania vinamuonyesha Mama mzazi wa Juma Aweso akimsifia na kuelezea Tabia za Mwanaye , haijulikani kama huo nao ni mradi au ni nini na wala haijulikani ni kwanini Mama Aweso apewe Airtime kwenye masuala ya Mwenge wa Uhuru ulioanzishwa na Nyerere .
Mwenge uingie kwenye kwenye sababu zinazochangia kuenezwa kwa UKiMWi nchiniHuyo dada kushoto anawakilisha tamaa ya uzinzi kupromote ngono.
Mwenge unachochea maambukizi ya ukimwi
Humtendei haki. Yeye anawaza 2025 hapo alipo, kwa hio kila anachofanya kwa sasa kinalenga kujiwekea mazingira kunako 2025.Aibu sana ! Yaani Aweso kajimilikisha Mwenge , kwamba Pangani yote ni mabwege ila yeye tu !
Hahaha. Mwenge wa uhuru hauna maana tena. Ni Ama tuuzime au turejee maandiko yake? Nani anaweza kuyaghani maandiko ya mwenge wa UHURU hadhaŕani hapo LUMUMBA? Dodoma bungeni au chamwino? Kizimkazi je wanaweza kughani maandikoJambo hili jipya limeonekana Msimu huu baada ya mbio hizo kujaza Wasanii na matapeli maarufu kutoka D'Salaam kila unapokuwepo Mwenge huo