Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenge sasa hivi umekuwa kifaa cha kishenzi ambacho kimepoteza muelekeo mazima. Hiki kifaa cha kishirikina kilichoanzishwa na Nyerer yafaa sasa kiwekwe makumbusho ya taifa.Jambo hili jipya limeonekana Msimu huu baada ya mbio hizo kujaza Wasanii na matapeli maarufu kutoka D'Salaam kila unapokuwepo Mwenge huo
Katika uchunguzi wetu hatujaona miradi yoyote inayozinduliwa na mwenge huo unaoitwa wa Uhuru , zaidi ya kuona sare zenye picha ya Rais na gwaride la Askari na baadaye kushuhudia Burudani ya muziki , siku inayofuata wanahamia pengine hatuoni kitu kingine
Picha hii hapa ni vijana wa D'salaam akiwemo Haji Manara ambaye hajui kuimba na haijulikani naye Amefuata nini huko pangani , ambako badala ya kuonyesha miradi ya Maendeleo vyombo vya habari vya Tanzania vinamuonyesha Mama mzazi wa Juma Aweso akimsifia na kuelezea Tabia za Mwanaye , haijulikani kama huo nao ni mradi au ni nini na wala haijulikani ni kwanini Mama Aweso apewe Airtime kwenye masuala ya Mwenge wa Uhuru ulioanzishwa na Nyerere .
Shughuli na maudhui ya Mwenge wa Uhuru hayajawahi kubadilika. Kilichobadilika ni mtazamo wako wewe binafsi juu ya Mwenge wa Uhuru. Na kwakuwa Mwenge wa Uhuru ni TUNU YA TAIFA tupo tuliokula yamini ya kuulinda hata kwa kutoa uhai wetu!Jambo hili jipya limeonekana Msimu huu baada ya mbio hizo kujaza Wasanii na matapeli maarufu kutoka D'Salaam kila unapokuwepo Mwenge huo
Katika uchunguzi wetu hatujaona miradi yoyote inayozinduliwa na mwenge huo unaoitwa wa Uhuru , zaidi ya kuona sare zenye picha ya Rais na gwaride la Askari na baadaye kushuhudia Burudani ya muziki , siku inayofuata wanahamia pengine hatuoni kitu kingine
Picha hii hapa ni vijana wa D'salaam akiwemo Haji Manara ambaye hajui kuimba na haijulikani naye Amefuata nini huko pangani , ambako badala ya kuonyesha miradi ya Maendeleo vyombo vya habari vya Tanzania vinamuonyesha Mama mzazi wa Juma Aweso akimsifia na kuelezea Tabia za Mwanaye , haijulikani kama huo nao ni mradi au ni nini na wala haijulikani ni kwanini Mama Aweso apewe Airtime kwenye masuala ya Mwenge wa Uhuru ulioanzishwa na Nyerere .
Aliwahi kukamatwa kwa utapeli na kufukuzwa kwenye uenezi wa ccm mkoa wa Dar kwa kashfa hiyoHivi manara huwa ni msanii wa sanaa gani haswa?
Hatutakubali ujingaUkifatilia sana mambo ya serikali utaumia sana , kikubwa jitahidi na wewe uwe serikali iwe kihalalibau siyo kihalali na ukishindwa kabisa kuwa serikali komaa na maisha yako tuu
*Nyakati za kafara la moto kutumika nchini zimeisha ndio maana limekosa tija!