Malengo ya Mbio za Mwenge yabadilishwa, Sasa hivi wanauzungusha tu na kufanya Matamasha

Mtanzania sahv we wapeleke tamasha tu watakata mauno
Mpaka basi
Shida zao zimekwisha

Ova
 
Mwenge sasa hivi umekuwa kifaa cha kishenzi ambacho kimepoteza muelekeo mazima. Hiki kifaa cha kishirikina kilichoanzishwa na Nyerer yafaa sasa kiwekwe makumbusho ya taifa.
 
Shughuli na maudhui ya Mwenge wa Uhuru hayajawahi kubadilika. Kilichobadilika ni mtazamo wako wewe binafsi juu ya Mwenge wa Uhuru. Na kwakuwa Mwenge wa Uhuru ni TUNU YA TAIFA tupo tuliokula yamini ya kuulinda hata kwa kutoa uhai wetu!
 
Hivi manara huwa ni msanii wa sanaa gani haswa?
 
Mbali na upotevu ma mamillioni ya hela za watanzania maskini, huu Mwenge unaongeza maambukizi VVU kwa vijana wetu nchini.
 
Ukifatilia sana mambo ya serikali utaumia sana , kikubwa jitahidi na wewe uwe serikali iwe kihalalibau siyo kihalali na ukishindwa kabisa kuwa serikali komaa na maisha yako tuu
 
Ukifatilia sana mambo ya serikali utaumia sana , kikubwa jitahidi na wewe uwe serikali iwe kihalalibau siyo kihalali na ukishindwa kabisa kuwa serikali komaa na maisha yako tuu
Hatutakubali ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…