Malengo yako ya mwaka huu yametimia?

Mungu ni mwaminifu.

Kiuchumi nimerudi nyuma sana ila kiroho nimesogea.
Na namshukuru Mungu amenipa furaha na amani,
Amenipa afya njema.

Naamini mwaka ujao atanisogeza mbele kiuchumi na atazidisha furaha zaidi kwangu na Kwa mwenzangu.
Kila jambo naamini linatokea kwa sababu,,,, utashangaa mwakani mambo yanakunyookea tu
 
Ahsante kwa kushiriki ,,,, !
 
Bado nafasi ipo ya kupambana mkuu,, shukuru pia kwa ulipofikia hata Kama sio asilimia zote
 
Nina mategemeo ya kupata mazuri mwaka ujao Mungu akinipa uhai na afya.

Mwaka huu ulienda ndivyo sivyo kwakuwa mwaka jana mwishoni kuna mradi niliingia kichwa kichwa ukavuruga malengo ya mwaka huu wote.

Mwaka huu nimeishi kwa Neema ya Mungu tu.
 
Mkuu shukuru hata kwa hicho unachoona ni kidogo, mwakani Mungu akipenda usiache kuweka malengo zaidi ya haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…