Malengo yangu mwaka 2021 ni kuacha pombe, umalaya na ku-bet

Kumbe tupo wengi wenye malengo yanayofanana fanana
Merry Christmas and Happy New Year woote
 
Pombe SABABU ya marafiki ambao nimekusudia kuwaepuka na nikilewa lazima nihangaike na madanga and kubet ni tu kutaka pesa za chap chap ili nikanywe nipate malaya! Its like a circle!.. Am going through on line counselling pia
That's called Viscous circle😉
 
Counseller wangu amenambia if I want ot for serious lazima iwe slow process ikiwa over sudden utakua umepumzika soo nataka niache kabise then ndo ntafute Mtoto wa KISUKUMA NIWEKE NDANI!...

Kwanini msukukuma Mkuu
 

Mkuu hiyo siku moja ulipoteza kiasi gani?
 
Mkuu nikipongeze sana kwa uthubutu huo,niombee na mimi niache hiyo namba 2, maana ninavyozizibua hadi huruma nataka kuacha
 
Mkuu hiyo siku moja ulipoteza kiasi gani?
Zaidi ya M, si kwamba nilikuwa nabet sana labda addicted, hapana ila nilikuwa nabet basket NBA na ligi ya Phillipines, na naweza pesa ndefu nabet quater to quater kwa timu moja moja so unakuta mpaka namaliza vipindi vyote 4 nimenasa sana
 
Usipanie Sana. Aisee kwanza hiyo ya kwanza ukipania ndo inazidigi utam.
 
Kweli shost si tupo nao mtaani tunajionea akiwa hana hela ataachana na kila kitu ngoja sasa ashike pesa utamsikia mimi niache pombe labda tbl ifungwe
Anakwambia niache pombe nimuachie nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Mi ni no 2 pekee ndo inanitesa sana vingine vyote situmii ila kwa mwezi natumia elf 20 tu kwenye hilo suala
Utakua unanunua zile K za mafungu pale Meeda unambinjua mtu kwa Babu kwa buku.

Sasa we nawe si uache tu umrudie Muumba [emoji19]
 
Mkuu nimependa jibu lako kwa huyu ndugu yetu,Nina swali dogo tuu,Nini tofauti ya devil na Satan? Mimi najuaga ni kitu hichohicho! Je ni sawa?
Nafsi yuleyule mmoja, ila kila jina linashadidi sifa zake tofauti (slanderer, accuser, opposer, evil, adversary)
 
Nice
cc: MICHAEL SON
 
Dah....mi apo kwenye pombe ndo nimefeli kuacha......
Matthew alikuwaga professional treasurer kwenye ile old Roman Protectorate over Jewish nation, anajua kuchezesha tarakimu kinamna kwa peni na kula dili nyingi bila kukamatika, lakini siku Mnazareti amemwita Matthew kamfuata Bwana Mkubwa wala hata hakugeuka tena kurudi alikotoka mazima.

Matthew, Matthew, Matthew nimekuita mara tatu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…