mrengo wa kushoto
Senior Member
- Sep 27, 2015
- 100
- 185
Huo ni mtazamo wa kizamani na wawale wasiyojielewaSasa kuna ubaya gani mkuu mbona ninyi wanaume mnaingia kwenye ndoa kwa lengo la kupikiwa, kufuliwa, mke akulee maisha yako yote na kukuzalia watoto au hayo majukumu mnayaona mepesi kuliko yenu
Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Shida ni yale yanayoendelea ya ndoa kugeuza Pakistani au Ukraine na UrusiWanao kataa ndoa hawana sababu za msingi zaidi zaidi wamejaa uwoga na kutojiamini. Hawana uwanaume wanaogopa kupenda wanaogopa wakipendwa
Bado tu haujanilewa ,kuishi kama baba na mama sio lazima mpka uwe na ndoa babu yangu na bibi wameishi miaka 60 bila ndoa na watoto wao wamepata malezi ya baba na mama , alafu punguza mihemko sio kila kilicho kwenye mitandao ni cha kuchukulia seriously .Naropoka haya kajambe.
Nyie ndo mnatengeneza watoto wa mitaani watoto wanaokosa malezi ya baba na mama. Unadhani malezi ya mtoto ni kumwaga tu mbegu na kwenda labor.
Watoto wa kiume wanazaliwa na kukosa malezi ya baba unajua madhara yake au una bwabwaja tu.
Kuoa ama kuolewa sio lazima, lakini kufanya kampeni ili kubadilisha mind ya kila mtu haikubaliki.
Unachoona hakikufai mwenzio kinamfaa.
Kaa hapo usioe, ukazae huko na uwaambie watoto wako wasije kuoa ama kuolewa.
Watu hawafanani na sio kilamwanamke anapenda ndoa ila oa kijana acha uogaWanawake wengi mnapenda ndoa sababu mkiingia mnajua kuna uwezekano mkubwa wa kupewa pesa bure, kulishwa, na kuvishwa bure kwa maisha yenu yote, Kinachowafanya Wadada muingie ndoani mara nyingi sio upendo, na hamumchukulii mume kama mwenza wa maisha Bali atm..
Nlisikiaa mdada mmoja Aliwaambia wenzake akisema anatafuta kuolewa ili ahudumiwe kipesa, amechoka kujigharamia, i was like what the f*CK Demi sophy27 ntazana ntazana
Ongelea kuhusu mada mimi kuwa mtoto wa mtaani haikuhusu hata kidgo, nguvu ya kukuliza ? Ndoa zinekuwa mbaya mno hasa hizi za kikristo zimekuwa mtego mbaya mno ni heri kuishi na mwanamke bila ndoa ,kuliko kufunga ndoa hasa kwa kizazi cha sasa.Mwandiko wako tu unaonyesha wewe mtoto wa mtaani hujui kuhusu ndoa! Unapata wapi nguvu ya kuniuliza Mimi.?
Namtazama mtu kama P. Diddy, ingawa wengi wanasema sijui ni hela ila hapana. Sio pesa, na pesa tu hawezi kuwa sababu ya jamaa kuwa vile. Hata r . Kelly.1. HATUNA UTAMADUNI WA KUFANYA TAFITI, KAMA WENZETU.
UKWELI NI KWAMBA WANAUME WASIO OA WANA MAISHA MAZURI NA MAREFU KULINGANISHA NA WALIOKO KWENYE NDOA
2. HIVI SBB HASA YA WAPINGA NDOA NI NINI? NI HIZO ULIZO TAJA? KUNA SBB ZA MSINGI (1.UTANDAWAZI, 2. HARAKATI CHAFU ZA KUMUINUA MWANAMKE!)
3.HIVI HIZI NDOA ZA SASA NI ZILE ZILIZOKUSUDIWA NA MUNGU?
Wakataa ndoa hawawezi piga kitu mbovu hivyo mkuu[emoji16] huyo ni mwenye ndoa kabadilisha ladha na mwenye ndoa mwenzakeHawa ndio vinara wa kupinga ndoa.. Vijana wa hovyo.. Hapo anaona kafanya bonge la tukio la kijanja kumbe lofa tuuView attachment 2509032
Suala la uzinzi unaliweka upande gani (kwa waamini)Mkuu Mimi naona Maisha ya Mtu kukaa single bila Attachment na Mwanamke ni mazuri Sana
Kula vizuri
Lala vizuri
Sali Sana
Kataa ndoa
Tafuta pesa kwa ajili yako na wazazi na wasiojiweza huu mradi wa Ndoa unawafaidisha wanawake tu.
Mkuu kukataa ndoa sio kukataa kuishi na mwanamke , kinacho pigwa apa ni kufunga pingu za maisha .Akifika miaka 50 tu hapo anaanza kukurupuka fastafasta na kuanza kijilaumu huku akiwa na msongo wa mawazo ,presha na magonjwa yanayo sababishwa na upweke.....
Jaribu uone🤣🤣🤣🤣🤣Niliwahi kusikia tena eti ukioa wake wengi ndio akili inachaji sana na kwamba mke mmoja anakudumaza akili; je, hilo ni kweli Mshana Jr?
🤣Sasa situation ilivyo sahizi mwanamke ndio anapigiwa kampeni aende kazini nafasi zikitoka zote wanapewa wao mwishowe mwanaume anazidiwa kipato au anakosa kabisa mchongo anaanza ku tag kwa mke wake.
Mmmmmmhmn ndugu haujawahi kuigiziwa mtu ana kuactia hata miaka 10 ukishaweka mambo fulani ambayo yanampa uhakika kuwa ndoa kaipata basi anaanza maviburi.Njia sahihi kwa sasa ni bora uishi na mtu kwanza uijue tabia yake Ili usiharibu cheti cha ndoa.
Uchumba sugu huwa hawaachani,
Kwa hyo ukigoma kufunga pingu za maisha unafeerwa?Wengi wanafeerwa ndio maana hukataa ndoa
Mkuu unaposema uishi na mwanamke bila kufungua ndoa, inamaana hapo mnakuwa mnazini kila siku. Je, huoni kama unaishi katika dhambi na kuweka mazingira magumu ya kiroho kwako na Kwa watoto wako? Yaani mnapoishi bila hata kufunga ndoa hata ibada unakuwa na ukakasi.Mkuu kukataa ndoa sio kukataa kuishi na mwanamke , kinacho pigwa apa ni kufunga pingu za maisha .
Duuuh....bado unaakili ya kuwa mke wako ni mfanyakazi wako...Sasa wewe elimu ya mke ya kudadavua mambo ya nini, wakati mke anachotakiwa kujua ni kufanya kazi za nyumbani, kukuzalia pamoja na kukulea wewe na watoto wako sasa hayo nayo yanahitaji elimu gani
Unakutana na mwanamke kupika sifuri yaani anapika mtu mradi nyanya ziive ila sio kupatia mapishi ya chakula ambayo yatamfanya mtu ajisikie anakula chakua kizuri na chenye lishe bora. Hadi mtu unamiss msosi wa kwenye migahawa maana wanapika vizuri kumvutia mteja.Ndoa ingekua ni jambo lenye manufaa kwa mwanaume ata lisingeamasishwa , kwa kizazi cha sasa ndoa ni ujinga mtupu.
Leo unasepa paaap..Sasa kwanini hamtaki kukubaliana na mapungufu yanayokuja na wanawake wanaofanya kazi au biashara au mnataka kulazimisha kuwa mwanamke mfanyakazi au mfanyabiashara na mama wa nyumbani wako sawa
Sent from my S6 using JamiiForums mobile app