mrengo wa kushoto
Senior Member
- Sep 27, 2015
- 100
- 185
Kuoa mwanamke wa kumuweka ndani asiye kuwa na elimu itakayo muezesha kupata ajira AU uwezo wa biashara ambayo ungeweza kumfungulia na akaifanya vizuri ni HATARI SANA.
Mungu amekubariki watoto, mali lakini akaamua kukuchukua wakati bado wakiwa wadogo, unadhanibwataishi kwenye mazingira gani wakati mama hana uwezo wowote wa kuwalinda wala kuwa tunza???
Mimi binafsi baba alifariki nikiwa mdogo sana na isingekuwa kazi ya mama sijui ningekuwa wapi leo, Mungu ni mwema.