Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa

Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa

Kuoa mwanamke wa kumuweka ndani asiye kuwa na elimu itakayo muezesha kupata ajira AU uwezo wa biashara ambayo ungeweza kumfungulia na akaifanya vizuri ni HATARI SANA.

Mungu amekubariki watoto, mali lakini akaamua kukuchukua wakati bado wakiwa wadogo, unadhanibwataishi kwenye mazingira gani wakati mama hana uwezo wowote wa kuwalinda wala kuwa tunza???

Mimi binafsi baba alifariki nikiwa mdogo sana na isingekuwa kazi ya mama sijui ningekuwa wapi leo, Mungu ni mwema.
 
Sasa kuna ubaya gani mkuu mbona ninyi wanaume mnaingia kwenye ndoa kwa lengo la kupikiwa, kufuliwa, mke akulee maisha yako yote na kukuzalia watoto au hayo majukumu mnayaona mepesi kuliko yenu

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Huo ni mtazamo wa kizamani na wawale wasiyojielewa
Ukioa kwaajili ya kufanyiwa shughuli ndogondogo za ndani ambzo naweza kuajiri mtu akanifanyia tena vizuri, uatakuwa hujui maana ya ndoa.
 
Wanao kataa ndoa hawana sababu za msingi zaidi zaidi wamejaa uwoga na kutojiamini. Hawana uwanaume wanaogopa kupenda wanaogopa wakipendwa
Shida ni yale yanayoendelea ya ndoa kugeuza Pakistani au Ukraine na Urusi
 
Naropoka haya kajambe.

Nyie ndo mnatengeneza watoto wa mitaani watoto wanaokosa malezi ya baba na mama. Unadhani malezi ya mtoto ni kumwaga tu mbegu na kwenda labor.
Watoto wa kiume wanazaliwa na kukosa malezi ya baba unajua madhara yake au una bwabwaja tu.

Kuoa ama kuolewa sio lazima, lakini kufanya kampeni ili kubadilisha mind ya kila mtu haikubaliki.
Unachoona hakikufai mwenzio kinamfaa.

Kaa hapo usioe, ukazae huko na uwaambie watoto wako wasije kuoa ama kuolewa.
Bado tu haujanilewa ,kuishi kama baba na mama sio lazima mpka uwe na ndoa babu yangu na bibi wameishi miaka 60 bila ndoa na watoto wao wamepata malezi ya baba na mama , alafu punguza mihemko sio kila kilicho kwenye mitandao ni cha kuchukulia seriously .
 
Wanawake wengi mnapenda ndoa sababu mkiingia mnajua kuna uwezekano mkubwa wa kupewa pesa bure, kulishwa, na kuvishwa bure kwa maisha yenu yote, Kinachowafanya Wadada muingie ndoani mara nyingi sio upendo, na hamumchukulii mume kama mwenza wa maisha Bali atm..

Nlisikiaa mdada mmoja Aliwaambia wenzake akisema anatafuta kuolewa ili ahudumiwe kipesa, amechoka kujigharamia, i was like what the f*CK Demi sophy27 ntazana ntazana
Watu hawafanani na sio kilamwanamke anapenda ndoa ila oa kijana acha uoga
 
Ndoa kwa matajiri wa zamani na viongozi wa kubwa ilikuwa kwasababu kubwa ya kuongeza nguvu ya jina la familia ,yaani kuolewa au kuoa kwenye familia yenye nguvu zaidi iwe kifedha ,biashara au kisiasa.

KWA WANAUME MAPENZI TUNAJIFUNZA HATA KAMA NIKIOA MWANA MKE NISIYE MPENDA LEO, SIJUI KWA WANAWAKE.

Kama unaona mtu hana akili ,uwezo, nguvu, nafasi au hata potential ya kufanya, kutengeneza jina au maisha bora zaidi ya watoto wako ni bora ukachelewa kidogo maana kwa mtu mpambanaji na muona mbali inaweza kukufanya umdharau na kuleta kisirani baadae...
 
Mwandiko wako tu unaonyesha wewe mtoto wa mtaani hujui kuhusu ndoa! Unapata wapi nguvu ya kuniuliza Mimi.?
Ongelea kuhusu mada mimi kuwa mtoto wa mtaani haikuhusu hata kidgo, nguvu ya kukuliza ? Ndoa zinekuwa mbaya mno hasa hizi za kikristo zimekuwa mtego mbaya mno ni heri kuishi na mwanamke bila ndoa ,kuliko kufunga ndoa hasa kwa kizazi cha sasa.
 
1. HATUNA UTAMADUNI WA KUFANYA TAFITI, KAMA WENZETU.
UKWELI NI KWAMBA WANAUME WASIO OA WANA MAISHA MAZURI NA MAREFU KULINGANISHA NA WALIOKO KWENYE NDOA

2. HIVI SBB HASA YA WAPINGA NDOA NI NINI? NI HIZO ULIZO TAJA? KUNA SBB ZA MSINGI (1.UTANDAWAZI, 2. HARAKATI CHAFU ZA KUMUINUA MWANAMKE!)

3.HIVI HIZI NDOA ZA SASA NI ZILE ZILIZOKUSUDIWA NA MUNGU?
Namtazama mtu kama P. Diddy, ingawa wengi wanasema sijui ni hela ila hapana. Sio pesa, na pesa tu hawezi kuwa sababu ya jamaa kuwa vile. Hata r . Kelly.

Jamaa wanagonga 50 years lakini akikaa na kijana wa 35 wa bongo aliyeoa anaonekana yeye mdogo. Hawa kumbuka ni masenior bachelor.

Wamekwenda kinyume na kanuni ya bila ndoa mwanaume hatoboi, ila nikitazama mademu waliokuwa wanaruka nao ujanani aiseee wamekuwa kama vibibi wanatisha halafu sasa hivi wanajifanya wanapigia debe ndoa na mahusiano bora.

Kuna fumbo hapa tumetegwa wanaume kuhusu ndoa. Mimi nataka nigonge hadi 50 sina ndoa halafu tuone. Maana so far naona vijana waliokatika ndoa miaka 32 wanalishwa machakula ya hovyo wananenepeana kama viboko, matumbo kule, wanakuwa na miili ya kibaba, yaani basi hali mradi kufura.

Nadhani ndoa ina utaratibu wake wa kuishi ambao kwa bahati mbaya kiuhalisia haufuatwi ndio maana wanaume hawafaidiki na ndoa zaidi ya kumsaidia mwanamke kuchuma mali za familia halafu kusomesha watoto ambao baadae guaranteed hawatakuja kuwa msaada kwake kwa asilimia kubwa ila kwa mama yao. Halafu mbaya zaidi ukisha kuwa alosto yaani umri wa utu uzima mkeo anakuona hauna maana kwake anaanza kukuletea utata katika ndoa na kukujenga mazingira ya kuondoka au uishi anavyotaka yeye au ufe kwa kisukari.

Hapa kuna mtego mkubwa sana. Ukitaka kujua ni mtego tazama ukiwa hauna pesa wala mchongo, hakuna mwanamke anakutaka na huu ujana . Ukijiweka sawa hawa hapa wamejaa wanakuzonga, unadhani ukazeeka na ukastaafu pesa zikakuishia nini kitawafanya wabakie na wewe?!

Me nadhani Ndoa kwasasa ni mtego kwa wanaume ambao ukinasa majuto ni baadae.
 
Mkuu Mimi naona Maisha ya Mtu kukaa single bila Attachment na Mwanamke ni mazuri Sana

Kula vizuri
Lala vizuri
Sali Sana
Kataa ndoa
Tafuta pesa kwa ajili yako na wazazi na wasiojiweza huu mradi wa Ndoa unawafaidisha wanawake tu.
Suala la uzinzi unaliweka upande gani (kwa waamini)
 
Akifika miaka 50 tu hapo anaanza kukurupuka fastafasta na kuanza kijilaumu huku akiwa na msongo wa mawazo ,presha na magonjwa yanayo sababishwa na upweke.....
Mkuu kukataa ndoa sio kukataa kuishi na mwanamke , kinacho pigwa apa ni kufunga pingu za maisha .
 
Sasa situation ilivyo sahizi mwanamke ndio anapigiwa kampeni aende kazini nafasi zikitoka zote wanapewa wao mwishowe mwanaume anazidiwa kipato au anakosa kabisa mchongo anaanza ku tag kwa mke wake.
🤣
 
Njia sahihi kwa sasa ni bora uishi na mtu kwanza uijue tabia yake Ili usiharibu cheti cha ndoa.
Uchumba sugu huwa hawaachani,
Mmmmmmhmn ndugu haujawahi kuigiziwa mtu ana kuactia hata miaka 10 ukishaweka mambo fulani ambayo yanampa uhakika kuwa ndoa kaipata basi anaanza maviburi.
 
Mkuu kukataa ndoa sio kukataa kuishi na mwanamke , kinacho pigwa apa ni kufunga pingu za maisha .
Mkuu unaposema uishi na mwanamke bila kufungua ndoa, inamaana hapo mnakuwa mnazini kila siku. Je, huoni kama unaishi katika dhambi na kuweka mazingira magumu ya kiroho kwako na Kwa watoto wako? Yaani mnapoishi bila hata kufunga ndoa hata ibada unakuwa na ukakasi.

Ndoa iliwekwa na Mwenye Mungu Mwenyewe..sasa wewe binadamu unaipingaje? ( Kwa waamini)
 
Sasa wewe elimu ya mke ya kudadavua mambo ya nini, wakati mke anachotakiwa kujua ni kufanya kazi za nyumbani, kukuzalia pamoja na kukulea wewe na watoto wako sasa hayo nayo yanahitaji elimu gani
Duuuh....bado unaakili ya kuwa mke wako ni mfanyakazi wako...
Lazima uone ndoa chungu baada ya muda na kula mahouse girls ukiona wanakufanyia kazi vizuri kuliko mke wako.
Ndoa ni taasisi Mkuu
 
Ndoa ingekua ni jambo lenye manufaa kwa mwanaume ata lisingeamasishwa , kwa kizazi cha sasa ndoa ni ujinga mtupu.
Unakutana na mwanamke kupika sifuri yaani anapika mtu mradi nyanya ziive ila sio kupatia mapishi ya chakula ambayo yatamfanya mtu ajisikie anakula chakua kizuri na chenye lishe bora. Hadi mtu unamiss msosi wa kwenye migahawa maana wanapika vizuri kumvutia mteja.

Ukija kitandani changamoto kibao. Ukija usafi wa tabia unakuta magepu kibao. Yaani tunalipa mahari as if tunapewa binti ambaye wazazi wamemtunza kwa adabu na heshima kuwa mke wa mtu kumbe tunapewa binti ambaye ukija kukaa nae ni changamoto sasa mahari ni zawadi ya shukurani ya nini ?
 
Sasa kwanini hamtaki kukubaliana na mapungufu yanayokuja na wanawake wanaofanya kazi au biashara au mnataka kulazimisha kuwa mwanamke mfanyakazi au mfanyabiashara na mama wa nyumbani wako sawa

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
Leo unasepa paaap..
Unamuachia watoto wa4 wakwanza anamiaka 6...

Umefikiria changamoto utakayowaachia watoto wako kwa uoga wako wa kuibiwa na kutokujiami mbele ya mke wako???
 
Back
Top Bottom