The Technologist
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,242
- 2,544
Huo upuuzi unawezekana kwa Baba kwenda kwa mtoto wa Kike na si vinginevyo, siamini...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza mfanyia hivyo mama yako? Au baba yako anaweza mfanyia hivyo dada/mdogo wako wa kike? Wacha uzwazwa na kuigiza maisha ya kizungu we boya.Inategemea tu... msilazimishe namna watu wanavyotakiwa kuishi.
Hahhaaa mswahili wa tandale anapo jifanya mzungu wakati hata mzungu mwenyewe hafanyi hayoMbona hamna chochote cha ajabu hapo? Ni namna watu wanavyoishi tu ndani kwao. Ni kawaida kabisa. Tuache kuwa conservative.
Madogo wa hivi ukubwani huwaambii kitu kuhusu nani kama mama.View attachment 2689216
Hatukatai mama na mtoto kupendana kama mzazi na mtoto lakini hii ni sawa?
Ni kweli mvulana huyu anampenda mama yake kwa jitihada za kumuandalia chakula lakini hakukuwa na namna nyingine kuonesha anampenda hadi iwe hivi ?
nae mama wala haoni shida na yawezekana ndie alimzoesha tangu akiwa mdogo, mtoto kawa kwa jinsi alivyolelewa.
si hili tu, tabia zingine mtoto kuoga na mama yake, mtoto kulala na mama yake kitanda kimoja, n.k.
Mtoto huyu akianza kubalehe naona wazi kabisa tabia hii inaweza kuchochea incest (watu wa familia moja kuingiliana)
Mara nyingi hutokea kwa nyumba zisizo na baba.
Hayo ni mawazo yako wewe. Hakuna binadamu anayeweza kufanya unayosema. Labda asiwe na utimamu wa akili.Hahhaaa mswahili wa tandale anapo jifanya mzungu wakati hata mzungu mwenyewe hafanyi hayo
Huo mi upumbavu tu kama upumbavu mwingine na wala sio kawaida huyo dogo atakuja kumla mama yake kama sio mama mtu kuwa romantic kwa mwanae acheni ujinga
Unashangaa nini? Hapo dogo tayari kadindisha ujue!Hayo ni mawazo yako wewe. Hakuna binadamu anayeweza kufanya unayosema. Labda asiwe na utimamu wa akili.
View attachment 2689216
Hatukatai mama na mtoto kupendana kama mzazi na mtoto lakini hii ni sawa?
Ni kweli mvulana huyu anampenda mama yake kwa jitihada za kumuandalia chakula lakini hakukuwa na namna nyingine kuonesha anampenda hadi iwe hivi ?
nae mama wala haoni shida na yawezekana ndie alimzoesha tangu akiwa mdogo, mtoto kawa kwa jinsi alivyolelewa.
si hili tu, tabia zingine mtoto kuoga na mama yake, mtoto kulala na mama yake kitanda kimoja, n.k.
Mtoto huyu akianza kubalehe naona wazi kabisa tabia hii inaweza kuchochea incest (watu wa familia moja kuingiliana)
Mara nyingi hutokea kwa nyumba zisizo na baba.
Hahaaaaa, mzigua mwenzangu wa dihombo turiani huyo. Nimemaliza, yeye anaweza mfanyia hivyo mama yake? Au Baba yake anaweza mfanyia hivyo mdogo wake wa kike? Ndio nasubiria jibu hapa.Hahhaaa mswahili wa tandale anapo jifanya mzungu wakati hata mzungu mwenyewe hafanyi hayo
Huo mi upumbavu tu kama upumbavu mwingine na wala sio kawaida huyo dogo atakuja kumla mama yake kama sio mama mtu kuwa romantic kwa mwanae acheni ujinga
Hakuna mimba inayoweza kuingia kwa namna hiyoKimchezomchezo dogo alikuwa anatumia "jakuuz" moja na mama yake akiwa 16yrs. Kumbe mama alikuwa akimwita waogelee pamoja akiwa na upwiru wakati baba yake yuko masomoni ulaya. Siku moja dogo kaachia wazungu na Mungu si Athumani immoooo, mama kaanza kutema mate. Kesi iliishia kupeana taraka na mtoto akawa baba kwa mama yake.
Kwanini haiwezekani? Lete "scientific prove" nasi tunaleta "scientific prove" kuonesha inawezekana.Hakuna mimba inayoweza kuingia kwa namba hiyo