Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #21
Mitandao mda mwingine mnaisingizia tu msingi unaanzia chiniExposure ya mitandao ya kijamii,mass media, na utandawazi vimechangia kuharibu watoto hasa wa kike.
Wazazi wanaplay part yao wanajitahidi sana, lakini vishawishi na vichochezi ni vingi na vipo mikononi mwa watoto,sebuleni, mtaani,shuleni na kote waendako.
Kuna mtoto wa mchungaji anafundishwa vyema kabisa maadili na wazazi wapo makini nae, ila kaishia kuzalia nyumbani na ni danga konki.