Malezi ya sasa hivi ni mabovu kabisa

Malezi ya sasa hivi ni mabovu kabisa

Kuna kipindi nilikua nikikaa home jioni napuliza mjani wangu huku pembeni nachamba koo na K-Vant kubwa.....
Sasa wakati huo nikawa nawaambia watoto wangu kwamba "siku akija kutokea mtu akavuta mibenge na mipombe hapa ndani, basi atafute kwao nyingine na nisimuone anakanyaga nyumbani kwangu"... qudadadadeqi....☹️
Hutakiwi kufanya hivyo vitu mbele ya watoto wako, wataiga tu!
 
Exposure ya mitandao ya kijamii,mass media, na utandawazi vimechangia kuharibu watoto hasa wa kike.
Wazazi wanaplay part yao wanajitahidi sana, lakini vishawishi na vichochezi ni vingi na vipo mikononi mwa watoto,sebuleni, mtaani,shuleni na kote waendako.

Kuna mtoto wa mchungaji anafundishwa vyema kabisa maadili na wazazi wapo makini nae, ila kaishia kuzalia nyumbani na ni danga konki.
sahihi kabisa mkuu
 
Juzi nilimtandika bakora kwa kutumia mswaki binti yangu wa miaka 3, basi mamaake akanikatajicho la hasira na huruma, nami nikamtolea jicha fkani kali sana huyoooo akatoka nje.
Siku iliyo fuata mtoto akaniambia " baba leo toto asumbui kabisaaa".... akaongeza kwa kusema "miakula ugali na baba toto".....🤣 hapo ilikua saa nne asubuhi muda wangu wa kuka ugali...🤨.
Tatizo wazazi tunawapa watoto shule nzuri, chakula kizuri, mavazi mazuri, tiba nzuri.... lakini tunasahau kuwapa malezi yanayo faa kwa manufaa yao baadae pindi watakapo kua na kesho yao
Watt wenyew wazaz mdio tuna wahatibu hv mtt mdog inanzaje mkukata nywele kama kichwa cha chn mtt wa kike mama leo nalala kwa kina Nancy
Kuna birthday sijui shule jratu mpk jpl huna tatjmin humo humo watt wananza kuharibika
 
Faza umeandikaa 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Thank you. Unfortunately only women take the fall for the aftermath like a single mother is blamed by everybody but a single father anahurumiwa for raising three kids all alone even if alipata kwa 3 different women. It doesn't make sense at all
Kwani kati ya mwanaume na binti nani anatanua mapaja yake na kukubali kupokea mimba? Huyo binti kama anajielewa si akatae.
 
Kuna wazazi sasa hivi mnausasa wa kuwaacha watoto wajifanyie wanavyo taka wao yaani wanajifanyia maamuzi ndio maana sasaivi wasichana wengi wamezalia nyumbani na mmelizikia hivi ni kawaida mtoto wa kike kazalia nyumbani mtoto wa kwanza ukasema bahati mbaya na wa pili anazalia nyumbani na baba tofauti na bado unaendelea kumlea hapo kwako kweli?

Zamani haikuwa ivyo kabisa watu walikuwa wanajichunga ila sasaivi uhuru umepitiliza embu wazazi acheni usasa ndio maana sasa hivi mwanaume apewi thamani yake kama zamani wakati kipindi cha nyuma mwanaume alikuwa anathaminiwa sana tofauti na sasa mwanaume wanatumika tu vibaya hii lekebisheni wazazi wafunzeni watoto wakike wajue thamani ya mwanaume wajue kuwa mwanaume ni nan
Wazazi wengi siku hizi hawatekelezi majukumu yao, hawahudumii watoto wao.
 
Zamani binti akibeba mimba anatimuliwa nyumbani akapambane huko maana anakuwa ameshakuwa mkubwa, saizi tunafurahia
Zamani wazazi walikuwa wanapambana kulima, kufuga, useremala n.k ili kuhudumia watoto wao na pia watoto muda mwingi walikuwa wana kazi za kufanya tofauti na sasa.
 
Exposure ya mitandao ya kijamii,mass media, na utandawazi vimechangia kuharibu watoto hasa wa kike.
Wazazi wanaplay part yao wanajitahidi sana, lakini vishawishi na vichochezi ni vingi na vipo mikononi mwa watoto,sebuleni, mtaani,shuleni na kote waendako.

Kuna mtoto wa mchungaji anafundishwa vyema kabisa maadili na wazazi wapo makini nae, ila kaishia kuzalia nyumbani na ni danga konki.
Pia kwa sababu ya watu kuishi mijini zaidi kuliko vijijini kama zamani ambapo mwanaume na mwanamke walikuwa wanakutana kisimani au mtoni tu wakati wanachota maji.
 
Kuna wazazi sasa hivi mnausasa wa kuwaacha watoto wajifanyie wanavyo taka wao yaani wanajifanyia maamuzi ndio maana sasaivi wasichana wengi wamezalia nyumbani na mmelizikia hivi ni kawaida mtoto wa kike kazalia nyumbani mtoto wa kwanza ukasema bahati mbaya na wa pili anazalia nyumbani na baba tofauti na bado unaendelea kumlea hapo kwako kweli?

Zamani haikuwa ivyo kabisa watu walikuwa wanajichunga ila sasaivi uhuru umepitiliza embu wazazi acheni usasa ndio maana sasa hivi mwanaume apewi thamani yake kama zamani wakati kipindi cha nyuma mwanaume alikuwa anathaminiwa sana tofauti na sasa mwanaume wanatumika tu vibaya hii lekebisheni wazazi wafunzeni watoto wakike wajue thamani ya mwanaume wajue kuwa mwanaume ni nan

Kuna wale timu kataa ndoa, hao nao ni mchango wa tatizo. Wanajisifu kula tunda kimasihara, lakini hawataki kuwajibika. Sasa hapo utasema kuna mtoto wa kiume au sifuri. Mtoto wa kiume anadiriki kusema kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu. Wakati enzi zetu tulikuwa tukipigania watoto. Hawa jamaa ni mbuzi kabisa. Na wengi wao ni akina kalubandika au wanaita Yahya, wenyewe siku hizi wanaita marioo. Hawana wanachokijua, wenyewe wanafikiria ngono tu. Hawajui kwamba wanapimwa kwa ngono wakiwa na umri wa chini ya 45. Lakini wakiwa zaidi ya hapo, hakuna kitu. Tena hawa kizazi cha chips yaani ndiyo kabisa. Matokeo yake wakiwa na miaka 45 tu unakuta mtu kachoka utafikiri ana 65+. Kitu kinachomtafuna ni hana hela kwa sababu muda ambao alitakiwa kutafuta hela yeye alikuwa akichakata mbususu, hana ndoa kwa sababu wakati wenzake wanajenga familia na kujenga uwezo wa kiuchumi yeye alikuwa akila bata na hana nguvu za kiume tena kwa sababu ni lofa, hana kitu. Anakuwa mtu wa kudharauliwa tu. Hatimaye presha inapanda anakufa. Kwisha habari yake
 
Ndugu zangu hakuna bingwa wa malezi mtoto akiamua kukengeuka anakengeuka tu hata uwe mkali kama mzee Masawe au mzee Jumbe (i. e wazee wakaksi na wakali mtaana niliokulia) ila bado kuna watoto wao walishindikana na kuwa vivuruge kupita maelezo
 
Kuna wazazi sasa hivi mnausasa wa kuwaacha watoto wajifanyie wanavyo taka wao yaani wanajifanyia maamuzi ndio maana sasaivi wasichana wengi wamezalia nyumbani na mmelizikia hivi ni kawaida mtoto wa kike kazalia nyumbani mtoto wa kwanza ukasema bahati mbaya na wa pili anazalia nyumbani na baba tofauti na bado unaendelea kumlea hapo kwako kweli?

Zamani haikuwa ivyo kabisa watu walikuwa wanajichunga ila sasaivi uhuru umepitiliza embu wazazi acheni usasa ndio maana sasa hivi mwanaume apewi thamani yake kama zamani wakati kipindi cha nyuma mwanaume alikuwa anathaminiwa sana tofauti na sasa mwanaume wanatumika tu vibaya hii lekebisheni wazazi wafunzeni watoto wakike wajue thamani ya mwanaume wajue kuwa mwanaume ni nan
Yote hii chimbuko lake ni kukosekana kwa baba mwenye msimamo na sauti ya kiume kwenye familia. Father's instill discipline kwa watoto. Ila sasa wababa wenyewe wapo bize wanalelewa. Itakuwaje sasa
 
Back
Top Bottom