Malezi ya sasa hivi ni mabovu kabisa

Mitandao mda mwingine mnaisingizia tu msingi unaanzia chini
 
Watoto wana weka vitu akilini wameona kwako na wameona hakuna madhara na wao watatamani kujaribu mkuu
 
Tulikuwa tunawasimanga wazungu kuwa wanamaadili mabovu, aisee kwa haya malezi ya sasa plus umasikini naiona Tanzania yenye jamii ya hovyo kuliko uhovyo wenyewe.
Sasaiv unaweza kwenda ugenini umekaa mnaongea mtoto wa mwenyeji wako wakike anapita na dera hajavaa nguo ndani anakuja kuwaletea maji unajiuliza hivi mama yake hajaona ua?
 
Topic ni malezi sio kuzaa, unless mada yako ni Mambo ya uzazi na sio malezi
Maybe mfano huu utanielewa, huyu ni Mtanzania mwenzetu, na huyu ni mwanamke anacheza mziki wa Singeli ambao Waziri ambaye ni mwana CCM anataka mziki kama huu Ndio uwe utambulisho wetu kimataifa.

Hizi nyimbo zinachangia pakubwa Sana mmomonyoko WA malezi na maadili kwenye jamii ambapo huishia kuchagiza Ngono zembe, early adolescents pregnancies na STIS.
KUMBUKA:
hawa ndio CCM wanaowatumia hawa Wa Singeli ili kupata Kura..... nadhani unaanza kunielewa
Your browser is not able to display this video.
 
Kweli kabisa,

Hao vijana wanaotia mimba hovyo ni tatizo kubwa pia.
Thank you. Unfortunately only women take the fall for the aftermath like a single mother is blamed by everybody but a single father anahurumiwa for raising three kids all alone even if alipata kwa 3 different women. It doesn't make sense at all
 
Na wanajisifu kabisa unakuta mmama anasema hawa watoto wangu kila mmoja na baba yake..bila wasiwasi.
 
I'm not a woman but if we think having kids before wedlock is an abomination why should we encourage men to hunt for sex while we know the possible end product. Why tusikataze sex as the source of all evil
Malezi zamani ilikuwa unajua mtoto ana nunuliwa lakn now mtoto mdogo anajau mtoto anapatikanaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…