Malezi ya sasa hivi ni mabovu kabisa

Kusalimia tu vitoto havisalimiii
Akikatazwa kitu analia tena kwa makelele
muda wote ni tablet au simu ya mzazi
Hawa wakikua sijui ni kizazi cha aina gani
 
Km wanaume wenyewe hawajijui ni nani, na wanaamua kugeukia upande wa 2, hao wanawake wataweza wapii?

Dunia imeshavuka hukoo. Lol
 
Ndugu zangu hakuna bingwa wa malezi mtoto akiamua kukengeuka anakengeuka tu hata uwe mkali kama mzee Masawe au mzee Jumbe (i. e wazee wakaksi na wakali mtaana niliokulia) ila bado kuna watoto wao walishindikana na kuwa vivuruge kupita maelezo
Umemaliza kila kitu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahsante mzazi na mzee mwenzetu kwa kuliona hili kwa kweli ni shida kabisa
Kwanza enzi za mababu wa mababu baadhi ya makabila msichana akibeba mimba nyumbani anauwawa kwa makabila mengine silitaji wakiona wamepata mimba walikuwa wanakimbia kwao wanakuja mijini wanazaa ila wanafanya biashara ya ngono.Biashara hiyo ya ngono wanasomesha watoto wao na nyumbani waweka mijengo ya nguvu.
 
Kabisa yaani sasaiv mtoto kamaliza fomr 4 mwaka jana mwaka uhu ana mimba na mzazi anachekelea na haoni shida kabisa
Wenyewe wanakwambia huku wanajichekesha utasikia β€œnimekuwa babu/bibi ujanani” basi unawatizamaa unabaki kusikitika.
 
Unajua kama upatikanaji wa mimba wenyewe ni shida siku hizi!?
Unamaanisha nini?umefikiria kweli ulichoandika?

Kwamba kwa sababu ninyi mlioua vizazi na madawa na kutoa mimba hamtungishi tena mimba basi watoto zenu wachache miliowazaa wazae badala yenu tena wakiwa wadogo bila future yoyote?
 
Yaani unamaanisha anazaa bila mwanaume!
Unamaanisha nini?umefikiria kweli ulichoandika?

Kwamba kwa sababu ninyi mlioua vizazi na madawa na kutoa mimba hamtungishi tena mimba basi watoto zenu wachache miliowazaa wazae badala yenu tena wakiwa wadogo bila future yoyote?
Ninefikiria sana tu. Wanaume wengi hmana uwezo wa kuzalisha siku hizi. Beba wanao kapime DNA.
 
Yaani unamaanisha anazaa bila mwanaume!

Ninefikiria sana tu. Wanaume wengi hmana uwezo wa kuzalisha siku hizi. Beba wanao kapime DNA.
Labda kabla sijaanza uchunguzi wangu wewe uwe sample ya kwanza.

Huyo mumeo hapo nyumbani ktk hao watoto anaojidai ni wa kwake wangapi wa kwake wangapi ni wa kimada wako?(maana wewe ndiye unaejua),so ikiwa wanaume tuna shida ya kuzalisha ndiyo ushangilie wanao kuzalia nyumbani?tena wakingali wadogo?
 
Kusalimia tu vitoto havisalimiii
Akikatazwa kitu analia tena kwa makelele
muda wote ni tablet au simu ya mzazi
Hawa wakikua sijui ni kizazi cha aina gani
Hiyo ni wazaz amuwafundishi watoto kusalimia ety mpaka mumdanganye utamnunulia pipi ndio asalimie
 
Na ndipo watoto wakaona mjini ndio kwenye maisha kumbe siko wengi wamepotea kwa njia kama hii
 
Sawa some how naungana na wewe ila kuna namna mzaz unatikwa ufanye kwenye malezi hii sio sawa watoto kuzalia nyumbani
 
Halafu hata hawanyang'anyani chakula, wala hakuna mashtaka ya kukomba mboga. Mii siku hiyo nikiwepo home ni mwendo wa kuyakimbiza mpaka yanasema poo. Muda wa kula ni 7 - 10 min, baada ya hapo tunageukia mada nyingine
Ushua mwingi
 
Hii bado ipo siku hizi?
Nakumbuka zamani mtoto wa mwisho wa mama, lazima awe na umri sawa/mdogo na mtoto wa kwanza wa binti yake. Yaani anko na mpwa wake wako rika moja, wanacheza pamoja
Haipo mkuu mimi nimemlea uncle wangu lakin tumecheza pamoja now kuna mipaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…