Mali za Magufuli na wote waliohusika kuvunja mikataba kiholela zikamatwe kufidia deni ili ndege yetu iachiwe

Shida
Huwezi wako ni mdogo

Huna shida nyingine

Na usivyotumia akili unatoa maoni mfu ambayo kwa Taifa letu haiwezekani hata kidogo .

Na nina mashaka sana na elimu yako
Kama unaweza toa maoni ya ovyo kiasi hicho
Lkn nikusadie URAISI NI TAASISI
Hivyo uwe unatumia akili au ukae kimya bila kuchangi


Nasikitika JAMII forum imavamiwa na interahamwe kama wewe
 
Ehh Mwenye Enzi Mungu tusikie kilio chetu wananchi wa Tanzania [emoji1241] jamani uwiii ehhh[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji2972]
 
Hapa nakupinga hakukua na mkataba mzuri mikataba ya kunyonya mali za watz ndo mizuri kwako?
Sisemi bwana yule alifanya mazuri sana ila hapo kwenye mikataba fikiri mara mbili
 
Mzalendo halisi...
 
Kwa hiyo na uamuzi wa kuhamia Dom, Serikali, nao ni Upuuzi?
 
CCM wote, wakatwe kodi maana waligonga meza bungeni na mtaani walimuita shujaa.
 
una miaka mingapi?
elimu yako?
 
Naunga mkono hoja
 
Bila kusahau wavuvi ziwa tanganyika
 
LABDA SERIKALI YA AFRIKA YA KUSINI SIO TANZANIA KATIBA ILIYOPO AMBAYO NI YA CCM HAINA KIFUNGU HICHO
 
.
JPM hajuvunja na hawezi kuvunja mkataba wowote wa kimataifa.
.
JPM alizuia kibali cha kusafirisha makontena ya makinikia yalipofika bandarini. Makontena yalivyojaa pale na beberu lilipoona JPM hatanii, likaja lenyewe mezani kwa majadiliano.
.
What he did was genius! Tunatakiwa tumpongeze kwa kuonyesha UJASIRI wa kupambania mali zetu zisiibiwe na beberu. Badala yake vijana wako mistari wa mbele kumkandia, inasikitisha sana.
.
Akiingia mtetezi wa mali zetu tunamponda, wakiingia wapiga dili tunawasifia. Watanzania tuna shida gani? Nani ametuloga? Lini waafrika tutaamka tujue wazungu sio babu zetu na wako hapa kujinufaisha wao kwa kuchuma mali zetu??
 
Mbona kabudi alitwambia kuwa mchanga ule ilikuwa kanyaboya tu haikuwa na kitu na lisu likwishasem kwamba zile riport zilikuwa proffesorial rubbish kumfurahisha jpm tu. Jpm shida yake aliandaa mazingira ya kupongrzw kwa chochote hata Kama kakurupuka we pongeza vinginevgo utakula mvua ya lisasi Kama alivyofanywa lisu
 
.
Sikatai kwamba report ilikuwa a little bit exaggerated ili kugain bargaining power.
.
Kwahiyo Acacia alikuja mezani kujadiliana na serikali ya Tanzania ili kukomboa rubbish?! Unafeli.
 
.
Ingekuwa kanyaboya Acacia wangekubali kulipa kodi na malimbikizo ya $600m? Analyse facts mkuu, usichitwe akili na waganga njaa.
 
Hapa nakupinga hakukua na mkataba mzuri mikataba ya kunyonya mali za watz ndo mizuri kwako?
Sisemi bwana yule alifanya mazuri sana ila hapo kwenye mikataba fikiri mara mbili
Una hakika na unachoongea?
 

Bila machafuko usitegemee haya mambo kubadilika au matamanio yako kutimia.
 
.
Ingekuwa kanyaboya Acacia wangekubali kulipa kodi na malimbikizo ya $600m? Analyse facts mkuu, usichitwe akili na waganga njaa.
Acha upotoshaji wa kijinga, dhibitisha kama Acacia walilipa $600m, au unadhani tumelala kwa kiasi hicho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…