Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ShidaUjane unakutesa sana ndio maana unaleta povu badala ya kukaa kwa kutulia.
Kama mikataba ilikuwa mibovu alipaswa kutumia sheria kuivunja. Na pia alipaswa kuwakamata wote waliosaini na kuipitisha ile mikataba. Huo ndio uzalendo na sio hizi hasara alizoleta kwa taifa.
Hapa nakupinga hakukua na mkataba mzuri mikataba ya kunyonya mali za watz ndo mizuri kwako?Mikataba mingi ilikuwa vizuri na mizuri sana ispokuwa Magufuli ilimlazimu azungumze uongo ili kui crash na tuone waliyoiingia walikuwa hawafai it's was somesort of, yeye awe zaidi ya wote hata kumpita Nyerere, ili akubalike na wajinga walio wengi kwa kigezo cha kuwaita "wanyonge" nao wakaitika naam, ili kutayarisha njia ya kuwa, DICTATOR KAMILI, KUVUNJA KATIBA NA YOTE MAOVU.
NI DHAMBI KUBWA KUFANYA JAMBO AU KUZUNGUMZA JAMBO ILI MWENZAKO AONEKANE HANA MAANA NA HAFAI.
Mzalendo halisi...Ifike wakati sasa hatua stahiki zichukuliwe ili iwe mfano kwa watu wote wanaopata uongozi katika nchi hii. Magufuli na wote waliohusika sasa ni wakati wafilisiwe.
Mtu hawezi kuwa anajiamulia mambo bila kufuata sheria na utaratibu halafu kodi zetu ndio ziwe zinatumika kulipia badala ya kutuletea maendeleo.
Kwa hiyo na uamuzi wa kuhamia Dom, Serikali, nao ni Upuuzi?Ifike wakati sasa hatua stahiki zichukuliwe ili iwe mfano kwa watu wote wanaopata uongozi katika nchi hii. Magufuli na wote waliohusika sasa ni wakati wafilisiwe.
Mtu hawezi kuwa anajiamulia mambo bila kufuata sheria na utaratibu halafu kodi zetu ndio ziwe zinatumika kulipia badala ya kutuletea maendeleo.
CCM wote, wakatwe kodi maana waligonga meza bungeni na mtaani walimuita shujaa.Ifike wakati sasa hatua stahiki zichukuliwe ili iwe mfano kwa watu wote wanaopata uongozi katika nchi hii. Magufuli na wote waliohusika sasa ni wakati wafilisiwe.
Mtu hawezi kuwa anajiamulia mambo bila kufuata sheria na utaratibu halafu kodi zetu ndio ziwe zinatumika kulipia badala ya kutuletea maendeleo.
una miaka mingapi?Magufuli alikuwa sahihi.awamu iliyomtangulia magufuli ndiyo ilikuwa ya wapuuzi wengi aliyoingia mikataba ya kipuuzi ya kufilisi nchi na kunufaisha hao wawekezaji uchwara.In sasa tu na awamu ya huyu mother inawapuuzi wengi wanaotetea mikataba ya kipuuzi
Naunga mkono hojaIfike wakati sasa hatua stahiki zichukuliwe ili iwe mfano kwa watu wote wanaopata uongozi katika nchi hii. Magufuli na wote waliohusika sasa ni wakati wafilisiwe.
Mtu hawezi kuwa anajiamulia mambo bila kufuata sheria na utaratibu halafu kodi zetu ndio ziwe zinatumika kulipia badala ya kutuletea maendeleo.
Bila kusahau wavuvi ziwa tanganyikaIfike wakati sasa hatua stahiki zichukuliwe ili iwe mfano kwa watu wote wanaopata uongozi katika nchi hii. Magufuli na wote waliohusika sasa ni wakati wafilisiwe.
Mtu hawezi kuwa anajiamulia mambo bila kufuata sheria na utaratibu halafu kodi zetu ndio ziwe zinatumika kulipia badala ya kutuletea maendeleo.
LABDA SERIKALI YA AFRIKA YA KUSINI SIO TANZANIA KATIBA ILIYOPO AMBAYO NI YA CCM HAINA KIFUNGU HICHOIfike wakati sasa hatua stahiki zichukuliwe ili iwe mfano kwa watu wote wanaopata uongozi katika nchi hii. Magufuli na wote waliohusika sasa ni wakati wafilisiwe.
Mtu hawezi kuwa anajiamulia mambo bila kufuata sheria na utaratibu halafu kodi zetu ndio ziwe zinatumika kulipia badala ya kutuletea maendeleo.
.Huku ndiko kukurupuka kwenyewe. Jpm alikuwa hana mamlaka ya kuvunja mikataba wowote. Sheria hainiruhusu kabisa ispokuwa mahakama tu. Jpm mamlaka yake yanakoma kwenye urais tu siyo kuingilia mahakama. Ndo maana Mambo yalikuwa shagalabagala kwa kuhalibu kila kitu. Ashtakiwe tu japo ameshaoza
Mbona kabudi alitwambia kuwa mchanga ule ilikuwa kanyaboya tu haikuwa na kitu na lisu likwishasem kwamba zile riport zilikuwa proffesorial rubbish kumfurahisha jpm tu. Jpm shida yake aliandaa mazingira ya kupongrzw kwa chochote hata Kama kakurupuka we pongeza vinginevgo utakula mvua ya lisasi Kama alivyofanywa lisu.
JPM hajuvunja na hawezi kuvunja mkataba wowote wa kimataifa.
.
JPM alizuia kibali cha kusafirisha makontena ya makinikia yalipofika bandarini. Makontena yalivyojaa pale na beberu lilipoona JPM hatanii, likaja lenyewe mezani kwa majadiliano.
.
What he did was genius! Tunatakiwa tumpongeze kwa kuonyesha UJASIRI wa kupambania mali zetu zisiibiwe na beberu. Badala yake vijana wako mistari wa mbele kumkandia, inasikitisha sana.
.
Akiingia mtetezi wa mali zetu tunamponda, wakiingia wapiga dili tunawasifia. Watanzania tuna shida gani? Nani ametuloga? Lini waafrika tutaamka tujue wazungu sio babu zetu na wako hapa kujinufaisha wao kwa kuchuma mali zetu??
.Mbona kabudi alitwambia kuwa mchanga ule ilikuwa kanyaboya tu haikuwa na kitu na lisu likwishasem kwamba zile riport zilikuwa proffesorial rubbish kumfurahisha jpm tu. Jpm shida yake aliandaa mazingira ya kupongrzw kwa chochote hata Kama kakurupuka we pongeza vinginevgo utakula mvua ya lisasi Kama alivyofanywa lisu

Una hakika na unachoongea?Hapa nakupinga hakukua na mkataba mzuri mikataba ya kunyonya mali za watz ndo mizuri kwako?
Sisemi bwana yule alifanya mazuri sana ila hapo kwenye mikataba fikiri mara mbili
Ifike wakati sasa hatua stahiki zichukuliwe ili iwe mfano kwa watu wote wanaopata uongozi katika nchi hii. Magufuli na wote waliohusika sasa ni wakati wafilisiwe.
Mtu hawezi kuwa anajiamulia mambo bila kufuata sheria na utaratibu halafu kodi zetu ndio ziwe zinatumika kulipia badala ya kutuletea maendeleo.
Acha upotoshaji wa kijinga, dhibitisha kama Acacia walilipa $600m, au unadhani tumelala kwa kiasi hicho?.
Ingekuwa kanyaboya Acacia wangekubali kulipa kodi na malimbikizo ya $600m? Analyse facts mkuu, usichitwe akili na waganga njaa.