Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
we kakwmbia nani chief wa serikali halipi kodi nchi hii asiyelipa kodi ni mbunge, na rais tu wengine wanalipa kwa mujibu wa sheria .Mtumishi wa sekta binafsi kama hoteli analipa kodi. Huyu inaenda hazina. Kodi hiyo ikijaa, sehemu fulani inachukuliwa kwenda kulipa mishahara ya watumishi, kujenga barabara nk. Watumishi hawawezi chukua hiyo pesa iliyotokana na kodi na kulipa tena kodi.
Watumishi wa serikali na wa mahoteli wote wanafanya kazi za muhimu. Hakuna aliyemuhimu zaidi ya mwingine. Lakini huyu wa hoteli analipa kodi na kuongeza kitu kwa nchi. Lakini huyu wa serikali halipi kodi.
Hilo mpaka uambiwe! We huoni kuwa watumishi wa umma hawalipi kodi hata mia?we kakwmbia nani chief wa serikali halipi kodi nchi hii asiyelipa kodi ni mbunge, na rais tu wengine wanalipa kwa mujibu wa sheria .
ila kama hawalipi basi wanapiga janja janja zao
wanalipa boss uliza uelimishwe usikalili wala kusikiliza manen ya vijiweniHilo mpaka uambiwe! We huoni kuwa watumishi wa umma hawalipi kodi hata mia?
Hizo habari za kulipa nu uongo ambao wanasiasa wanasambaza. Tumia akili mwenyewe, mtumishi wa umma anaongeza Tsh ngapi kwenye kodi ya nchi?wanalipa boss uliza uelimishwe usikalili wala kusikiliza manen ya vijiweni
ebu boss fanya research kabla ya kuja kupost hapa au kuongea jambo lolote mbele ya umma. inaonesha haujafanya research umeandika kwa nadharia zaidiHizo habari za kulipa nu uongo ambao wanasiasa wanasambaza. Tumia akili mwenyewe, mtumishi wa umma anaongeza Tsh ngapi kwenye kodi ya nchi?
Itoshe kusema akili hunaHabari wakuu,
Wakati wa Mkapa ulitokea uuzaji wa nyumba za serikali, na kigezo cha kuweza kununua nyumba hizo ilikuwa uwe mtumishi wa serikali. Jamii iliona ni sawa na haki, lakini kumbe jambo sawa na la haki ilikuwa kwa watumishi hao kutoruhusiwa kabisa kununua nyumba zile.
Wanazuoni wanasema kuwa mali za Serikali zinapatikana kwa kupitia kodi, kwa hiyo hata wakati zinapouzwa ni haki wale walipa kodi ndiyo wakapewa nafasi ya kununua. Watumishi wa serikali, kuanzia Rais, mawaziri, wabunge na watumishi wengine wote wanaolipwa na serikali si walipa kodi bali ni watu wanaotumia kodi.
Si haki kumuuzia mtu ambaye hakuhusika kuchangia kupatikana mali hiyo huku ukimuondoa kabisa yule aliyehusika kuinunua. Kwa mantiki hiyo, mali yoyote ya Serikali inapouzwa, iwe nyumba, magari, viwanja, mashamba n.k, watumishi wa serikali hawapaswi kuruhusiwa kununua.
Nawasilisha.
Mhhh..wewe mzigoHauko peke yako. Wengi wanafikiri watumishi wa umma na viongozi wa serikali wanalipa kodi.
We ndiyo kafanye research. Paye kwa watumishi wa umma siyo kodi. Haiongezi hata mia kwenye kodi ya nchi.ebu boss fanya research kabla ya kuja kupost hapa au kuongea jambo lolote mbele ya umma. inaonesha haujafanya research umeandika kwa nadharia zaidi
Na we mkuu unaamini watumishi wa umma wanalipa kodi! Mbona unaonekanaga muelewa?!Itoshe kusema akili huna
sawa mkuuWe ndiyo kafanye research. Paye kwa watumishi wa umma siyo kodi. Haiongezi hata mia kwenye kodi ya nchi.
Mwaisa bora ungejinyamazia tu. Mbona wafanyakazi wa serikali ni walipa kodi wazuri sana kupitia mishahara yao na hawana pa kukwepea wala ujanja ujanja?Habari wakuu,
Wakati wa Mkapa ulitokea uuzaji wa nyumba za serikali, na kigezo cha kuweza kununua nyumba hizo ilikuwa uwe mtumishi wa serikali. Jamii iliona ni sawa na haki, lakini kumbe jambo sawa na la haki ilikuwa kwa watumishi hao kutoruhusiwa kabisa kununua nyumba zile.
Wanazuoni wanasema kuwa mali za Serikali zinapatikana kwa kupitia kodi, kwa hiyo hata wakati zinapouzwa ni haki wale walipa kodi ndiyo wakapewa nafasi ya kununua. Watumishi wa serikali, kuanzia Rais, mawaziri, wabunge na watumishi wengine wote wanaolipwa na serikali si walipa kodi bali ni watu wanaotumia kodi.
Si haki kumuuzia mtu ambaye hakuhusika kuchangia kupatikana mali hiyo huku ukimuondoa kabisa yule aliyehusika kuinunua. Kwa mantiki hiyo, mali yoyote ya Serikali inapouzwa, iwe nyumba, magari, viwanja, mashamba n.k, watumishi wa serikali hawapaswi kuruhusiwa kununua.
Nawasilisha.
Hamna mkuu. Watumishi hawalipi hata mia. Hawaongezi hata mia kwenye kodi inayokusanywa na nchi. Mishahara yao inatokana na kodi.Mwaisa bora ungejinyamazia tu. Mbona wafanyakazi wa serikali ni walipa kodi wazuri sana kupitia mishahara yao na hawana pa kukwepea wala ujanja ujanja?
Kabla ya nini maana ya kodiTuanzie hapa nini maana ya kodi?
Watanzania mnapenda kuongelea sana mambo msiyo yajua hadi mnatia kichefu chefu.Habari wakuu,
Wakati wa Mkapa ulitokea uuzaji wa nyumba za serikali, na kigezo cha kuweza kununua nyumba hizo ilikuwa uwe mtumishi wa serikali. Jamii iliona ni sawa na haki, lakini kumbe jambo sawa na la haki ilikuwa kwa watumishi hao kutoruhusiwa kabisa kununua nyumba zile.
Wanazuoni wanasema kuwa mali za Serikali zinapatikana kwa kupitia kodi, kwa hiyo hata wakati zinapouzwa ni haki wale walipa kodi ndiyo wakapewa nafasi ya kununua. Watumishi wa serikali, kuanzia Rais, mawaziri, wabunge na watumishi wengine wote wanaolipwa na serikali si walipa kodi bali ni watu wanaotumia kodi.
Si haki kumuuzia mtu ambaye hakuhusika kuchangia kupatikana mali hiyo huku ukimuondoa kabisa yule aliyehusika kuinunua. Kwa mantiki hiyo, mali yoyote ya Serikali inapouzwa, iwe nyumba, magari, viwanja, mashamba n.k, watumishi wa serikali hawapaswi kuruhusiwa kununua.
Nawasilisha.
Tena kodi ya mtumishi wa umma ni kubwa sana kuliko makadirio ya wafanya biasharaNadhani mleta mada tumsamehe tu tatizo ni exposure..hajui kuna kitu kinaitwa PAYE.
Watumishi wa umma wanafyekwa pesa kulipia kodi kila mwisho wa mwezi.
#MaendeleoHayanaChama
Usisahau kwamba hayo ni malipo au ujira wa kazi aliyo itumikia mtumishi kwenye serikali kama ambavyo wewe una lima nyanya na kuuzaNi fancy name tu wameita hayo makato. Lakini hiyo PAYE haiongezi hata mia kwenye jumla ya kodi iliyokusanywa nchini. Maana yenyewe imetokea kwenye kodi. Maana mshahara wa mtumishi wa umma wote umetoka kwenye kodi.
Watz mna akili za kukariri sana. Mkikutana na dhana ngeni mnapoteana kabisa.Watanzania mnapenda kuongelea sana mambo msiyo yajua hadi mnatia kichefu chefu.
Hakuna mtumishi wa serikali analipa kodi. Kuanzia Rai hadi makarani ma wahudumu wa ofisini. Wao ni watumia kodi. Tena kama makusanyo ya kodi ni madogo, wanatumia yote hata ya kununulia vitu kama dawa na kujenga barabara inakosekana.Tena kodi ya mtumishi wa umma ni kubwa sana kuliko makadirio ya wafanya biashara
Mishahara yao inatokana na kodi. Sasa atatumiaje pesa ya kodi kulipa kodi? Ataongeza chochote kwa kulipa kodi kwa kutumia kodi? Watumishi wote kuanzia Rais, hawatakiwi kupewa nafasi ya kununua mali za umma zilizopatikana kwa kutumia kodi.