Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
we kakwmbia nani chief wa serikali halipi kodi nchi hii asiyelipa kodi ni mbunge, na rais tu wengine wanalipa kwa mujibu wa sheria .Mtumishi wa sekta binafsi kama hoteli analipa kodi. Huyu inaenda hazina. Kodi hiyo ikijaa, sehemu fulani inachukuliwa kwenda kulipa mishahara ya watumishi, kujenga barabara nk. Watumishi hawawezi chukua hiyo pesa iliyotokana na kodi na kulipa tena kodi.
Watumishi wa serikali na wa mahoteli wote wanafanya kazi za muhimu. Hakuna aliyemuhimu zaidi ya mwingine. Lakini huyu wa hoteli analipa kodi na kuongeza kitu kwa nchi. Lakini huyu wa serikali halipi kodi.
ila kama hawalipi basi wanapiga janja janja zao