Mali za umma zinapouzwa, watumishi wa Serikali wasiruhusiwe kununua sababu si walipa kodi

Mtumishi wa sekta binafsi kama hoteli analipa kodi. Huyu inaenda hazina. Kodi hiyo ikijaa, sehemu fulani inachukuliwa kwenda kulipa mishahara ya watumishi, kujenga barabara nk. Watumishi hawawezi chukua hiyo pesa iliyotokana na kodi na kulipa tena kodi.

Watumishi wa serikali na wa mahoteli wote wanafanya kazi za muhimu. Hakuna aliyemuhimu zaidi ya mwingine. Lakini huyu wa hoteli analipa kodi na kuongeza kitu kwa nchi. Lakini huyu wa serikali halipi kodi.
we kakwmbia nani chief wa serikali halipi kodi nchi hii asiyelipa kodi ni mbunge, na rais tu wengine wanalipa kwa mujibu wa sheria .

ila kama hawalipi basi wanapiga janja janja zao
 
Hilo mpaka uambiwe! We huoni kuwa watumishi wa umma hawalipi kodi hata mia?
 
wanalipa boss uliza uelimishwe usikalili wala kusikiliza manen ya vijiweni
Hizo habari za kulipa nu uongo ambao wanasiasa wanasambaza. Tumia akili mwenyewe, mtumishi wa umma anaongeza Tsh ngapi kwenye kodi ya nchi?
 
ebu boss fanya research kabla ya kuja kupost hapa au kuongea jambo lolote mbele ya umma. inaonesha haujafanya research umeandika kwa nadharia zaidi
 
Habari wakuu,

Wakati wa Mkapa ulitokea uuzaji wa nyumba za serikali, na kigezo cha kuweza kununua nyumba hizo ilikuwa uwe mtumishi wa serikali. Jamii iliona ni sawa na haki, lakini kumbe jambo sawa na la haki ilikuwa kwa watumishi hao kutoruhusiwa kabisa kununua nyumba zile.

Wanazuoni wanasema kuwa mali za Serikali zinapatikana kwa kupitia kodi, kwa hiyo hata wakati zinapouzwa ni haki wale walipa kodi ndiyo wakapewa nafasi ya kununua. Watumishi wa serikali, kuanzia Rais, mawaziri, wabunge na watumishi wengine wote wanaolipwa na serikali si walipa kodi bali ni watu wanaotumia kodi.

Si haki kumuuzia mtu ambaye hakuhusika kuchangia kupatikana mali hiyo huku ukimuondoa kabisa yule aliyehusika kuinunua. Kwa mantiki hiyo, mali yoyote ya Serikali inapouzwa, iwe nyumba, magari, viwanja, mashamba n.k, watumishi wa serikali hawapaswi kuruhusiwa kununua.

Nawasilisha.
Itoshe kusema akili huna
 
ebu boss fanya research kabla ya kuja kupost hapa au kuongea jambo lolote mbele ya umma. inaonesha haujafanya research umeandika kwa nadharia zaidi
We ndiyo kafanye research. Paye kwa watumishi wa umma siyo kodi. Haiongezi hata mia kwenye kodi ya nchi.
 
Habari wakuu,

Wakati wa Mkapa ulitokea uuzaji wa nyumba za serikali, na kigezo cha kuweza kununua nyumba hizo ilikuwa uwe mtumishi wa serikali. Jamii iliona ni sawa na haki, lakini kumbe jambo sawa na la haki ilikuwa kwa watumishi hao kutoruhusiwa kabisa kununua nyumba zile.

Wanazuoni wanasema kuwa mali za Serikali zinapatikana kwa kupitia kodi, kwa hiyo hata wakati zinapouzwa ni haki wale walipa kodi ndiyo wakapewa nafasi ya kununua. Watumishi wa serikali, kuanzia Rais, mawaziri, wabunge na watumishi wengine wote wanaolipwa na serikali si walipa kodi bali ni watu wanaotumia kodi.

Si haki kumuuzia mtu ambaye hakuhusika kuchangia kupatikana mali hiyo huku ukimuondoa kabisa yule aliyehusika kuinunua. Kwa mantiki hiyo, mali yoyote ya Serikali inapouzwa, iwe nyumba, magari, viwanja, mashamba n.k, watumishi wa serikali hawapaswi kuruhusiwa kununua.

Nawasilisha.
Mwaisa bora ungejinyamazia tu. Mbona wafanyakazi wa serikali ni walipa kodi wazuri sana kupitia mishahara yao na hawana pa kukwepea wala ujanja ujanja?
 
Hamna mkuu. Watumishi hawalipi hata mia. Hawaongezi hata mia kwenye kodi inayokusanywa na nchi. Mishahara yao inatokana na kodi.
 
Mtoa mada anachanganya kati ya kodi na vyanzo vipya vya kodi pamoja mzunguko wa fedha na ongezeko la thamani.

Kuna mtaalam YEHODAYA ameuliza maswali sensitive sana ambayo yalitosha kuongeza ufahamu.

Nashauri ufuatilie bajeti ya serikali halafu uone vyanzo vya kodi ni vipi. Haiwezekani PAYE isiwe kodi, nikinunua kitu toka ktk mshahara nikalipa VAT isiwe kodi. Basi tuiite tozo.

Nadhani kodi kwa mantiki ya mtoa mada ni mpaka itokane na chanzo kingine tofauti na hela ya serikali. Hii inawezekana ukienda nchi ya ugeni ukafanya kazi au biashara bila kutumia fedha ya nchini halafu faida ukipata uje ulipe kodi. Naiona kama narrow scope
 
Habari wakuu,

Wakati wa Mkapa ulitokea uuzaji wa nyumba za serikali, na kigezo cha kuweza kununua nyumba hizo ilikuwa uwe mtumishi wa serikali. Jamii iliona ni sawa na haki, lakini kumbe jambo sawa na la haki ilikuwa kwa watumishi hao kutoruhusiwa kabisa kununua nyumba zile.

Wanazuoni wanasema kuwa mali za Serikali zinapatikana kwa kupitia kodi, kwa hiyo hata wakati zinapouzwa ni haki wale walipa kodi ndiyo wakapewa nafasi ya kununua. Watumishi wa serikali, kuanzia Rais, mawaziri, wabunge na watumishi wengine wote wanaolipwa na serikali si walipa kodi bali ni watu wanaotumia kodi.

Si haki kumuuzia mtu ambaye hakuhusika kuchangia kupatikana mali hiyo huku ukimuondoa kabisa yule aliyehusika kuinunua. Kwa mantiki hiyo, mali yoyote ya Serikali inapouzwa, iwe nyumba, magari, viwanja, mashamba n.k, watumishi wa serikali hawapaswi kuruhusiwa kununua.

Nawasilisha.
Watanzania mnapenda kuongelea sana mambo msiyo yajua hadi mnatia kichefu chefu.
 
Nadhani mleta mada tumsamehe tu tatizo ni exposure..hajui kuna kitu kinaitwa PAYE.

Watumishi wa umma wanafyekwa pesa kulipia kodi kila mwisho wa mwezi.

#MaendeleoHayanaChama
Tena kodi ya mtumishi wa umma ni kubwa sana kuliko makadirio ya wafanya biashara
 
Ni fancy name tu wameita hayo makato. Lakini hiyo PAYE haiongezi hata mia kwenye jumla ya kodi iliyokusanywa nchini. Maana yenyewe imetokea kwenye kodi. Maana mshahara wa mtumishi wa umma wote umetoka kwenye kodi.
Usisahau kwamba hayo ni malipo au ujira wa kazi aliyo itumikia mtumishi kwenye serikali kama ambavyo wewe una lima nyanya na kuuza
 
Tena kodi ya mtumishi wa umma ni kubwa sana kuliko makadirio ya wafanya biashara
Hakuna mtumishi wa serikali analipa kodi. Kuanzia Rai hadi makarani ma wahudumu wa ofisini. Wao ni watumia kodi. Tena kama makusanyo ya kodi ni madogo, wanatumia yote hata ya kununulia vitu kama dawa na kujenga barabara inakosekana.
 
Mishahara yao inatokana na kodi. Sasa atatumiaje pesa ya kodi kulipa kodi? Ataongeza chochote kwa kulipa kodi kwa kutumia kodi? Watumishi wote kuanzia Rais, hawatakiwi kupewa nafasi ya kununua mali za umma zilizopatikana kwa kutumia kodi.

Nani kakwambia mishahara Yao yote inatokana na Kodi?
Hakuna taasisi za umma zinazofanya biashara? MTU ni muajiriwa benki Kama Tcb wanafanya biashara na faida wanapata....unasemaje huyo mtumishi anaishi Kwa Kodi za wengine?waajiriwa NHIF?
 
Back
Top Bottom