Malipo ya Mrithi kwa Mwendazake yanatupa findisho kubwa sana

Laiti kama Mwendazake angejua msaidizi wake hatomtetea ila atamzamisha sidhani kama angemuamini kuendelea nae .

Moyo wa Mtu ni fumbo kubwa sana , trust nobody.

Jumapili njema ,nawapenda sana wana jf .
Magufuli alikuwa na msaliti wa hali ya juu sana. Lakini mwisho wake utafika naye ataitwa mwendazake.
 
Laiti kama Mwendazake angejua msaidizi wake hatomtetea ila atamzamisha sidhani kama angemuamini kuendelea nae .

Moyo wa Mtu ni fumbo kubwa sana , trust nobody.

Jumapili njema ,nawapenda sana wana jf .
Kila mtu ashinde mechizake na ubebe msalaba wako mwenyewe....period
 
Laiti kama Mwendazake angejua msaidizi wake hatomtetea ila atamzamisha sidhani kama angemuamini kuendelea nae .

Moyo wa Mtu ni fumbo kubwa sana , trust nobody.

Jumapili njema ,nawapenda sana wana jf .

Bila mifumo imara ya democracy mtabaki kulalama kila muhula. Kama unapenda nchi pigania mifumo sio watu. Hawa mnao kuwa machawa kwao hata hawajui wala kuwajali hivyo. Pigania mifumo ambayo ni taifa sio mtu
 
Kuna sehemu hata rafiki yako huwezi kumtetea. Kumbuka hivyo.
Kwa ishu ya kuua huwezi kutetewa.
 
Kwani mgombea huwa anachagua yeye wa kugombea naye au huwa analetewa na vigogo wengine ?!
 
Kama isingekuwa....naamini mwendazake angekuwa bado hai!

Alikosea tu kukubali kuitwa Alpha na Omega na machawa akina Kangi Lugola...

GfMNLpyXYAA8ucg (1).jpeg
 
Bila mifumo imara ya democracy mtabaki kulalama kila muhula. Kama unapenda nchi pigania mifumo sio watu. Hawa mnao kuwa machawa kwao hata hawajui wala kuwajali hivyo. Pigania mifumo ambayo ni taifa sio mtu
Umemaliza !🙏
 
Yani mtu ufanye upuuzi uje kuwapa lawama wengine?

Kila mtu ataubeba msalaba wake, ukitenda wema utakumbukwa kwa mema.
... Kuna watu mamenishinda kwa uelewa wao mdogo aisee! ... ati kuna mmoja anahoji kwanini mamlaka husika hazikuzuia kile kipengela cha ubakaji kisichapishwe, kana kwamba kitabu kiliidhinishwa kuchapishwa hapa Bongo!
😅
 
Aisee ukiacha madhaifu ya mwamba moja kati ya mistake kubwa aluyowahi kuifanya kiongozi mkubwa wa nchi mwenye cheo cha Urais ni kum pinpoint mwanamke kuwa msaidizi wake...

Haina tofauti kabisa na kule majuu Biden alivyopuyanga no wonder wote wakaend up shimoni.
Moja ya tatizo la Magufuli ni kupenda sana kuvua wake za watu chupy bila kujali hisia zao.
 
Laiti kama Mwendazake angejua msaidizi wake hatomtetea ila atamzamisha sidhani kama angemuamini kuendelea nae .

Moyo wa Mtu ni fumbo kubwa sana , trust nobody.

Jumapili njema ,nawapenda sana wana jf .
Watanzania wengi kama kawaida mnaishia kujadili watu.

Small minds discuss people.
Average minds discuss events.
Great minds discuss ideas.
- Eleanor Roosevelt
 
Bila mifumo imara ya democracy mtabaki kulalama kila muhula. Kama unapenda nchi pigania mifumo sio watu. Hawa mnao kuwa machawa kwao hata hawajui wala kuwajali hivyo. Pigania mifumo ambayo ni taifa sio mtu

Asante mkuu.

Wabongo wengi hawaelewi tofauti ya mfumo na mtu, wanaona mtu mwenye cheo ndiye mfumo.

Ndiyo maana wengi hawawezi kuongelea nfumo, kuongelea ideas, wanaishia kuongelea watu, wakizidi sana wanaongelea events.
 
Unataka msaidizi atetetee jitu lililomfata kwake kibabe usiku usiku huku limevaa pajama?

Hebu muacheni mama alinde heshima ya wanawake wote duniani.

Jitu bakaji halitakiwi kutetewa
Vipi na wewe ulifatwa usiku usiku na jitu limevaa pajama?

Hiyo siku jitu limeenda kwa samia na pajama wewe ulikuwepo kwenye tukio?
 
Back
Top Bottom