milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Yule ni Delila 100%Laiti kama Mwendazake angejua msaidizi wake hatomtetea ila atamzamisha sidhani kama angemuamini kuendelea nae .
Moyo wa Mtu ni fumbo kubwa sana , trust nobody.
Jumapili njema ,nawapenda sana wana jf .