Malipo ya Mrithi kwa Mwendazake yanatupa findisho kubwa sana

Malipo ya Mrithi kwa Mwendazake yanatupa findisho kubwa sana

Aisee ukiacha madhaifu ya mwamba moja kati ya mistake kubwa aluyowahi kuifanya kiongozi mkubwa wa nchi mwenye cheo cha Urais ni kum pinpoint mwanamke kuwa msaidizi wake...

Haina tofauti kabisa na kule majuu Biden alivyopuyanga no wonder wote wakaend up shimoni.
Kwani hao wanaume wametusaidia kipi ambacho kimemshinda Samia?
 
Huyo jimama alichaguliwa ili kutimiza yale mambo ya kihuni ya kimuungano kati ya wa Chao ni Chao na chetu ni Cha wote.kiuhalisia huyu hakufaa kuwa msaidizi maana anamzushia mauongo chungu nzima
 
Laiti kama Mwendazake angejua msaidizi wake hatomtetea ila atamzamisha sidhani kama angemuamini kuendelea nae .

Moyo wa Mtu ni fumbo kubwa sana , trust nobody.

Jumapili njema ,nawapenda sana wana jf .
The bread will be broken down in July 2025 among the green mamba team. The challenging parties are advised to explore the uncovered weakness to penetrate the agenda to the citizens before the general election.
 
Laiti kama Mwendazake angejua msaidizi wake hatomtetea ila atamzamisha sidhani kama angemuamini kuendelea nae .

Moyo wa Mtu ni fumbo kubwa sana , trust nobody.

Jumapili njema ,nawapenda sana wana jf .
Umeambiwa usimuamini mwanamke,na ukimuamini tu usimlaumu mtu yeyote.
 
Siamini kwamba ilikuwa choice yake, labda term ya pili ila kwa term ya kwanza alipewa jina akaenda nalo.
Kama mwenyewe alitamka ya kwamba alifanya kazi kama naibu waziri na waziri wake akiwa mwanamke kutokana na hayo basi anaona makamu wake awe mwanamke pale Dodoma basi ni dhahiri ilikuwa chaguo lake.Naikumbuka hii speech yake.

Yote Kwa yote kama tuhuma zilikuwa ni za kweli basi kumtetea ni sawa na kujichafua mwenyewe pia dawa nikupiga kimya tu.

Binafsi nakumbuka ya kwamba hali ilikuwa mbaya sana, ilifika kipindi hadi viongozi wa dini walianza kupaza sauti kuhusu watu kupotea na bado hali sio Salama sana
 
Laiti kama Mwendazake angejua msaidizi wake hatomtetea ila atamzamisha sidhani kama angemuamini kuendelea nae .

Moyo wa Mtu ni fumbo kubwa sana , trust nobody.

Jumapili njema ,nawapenda sana wana jf .

Labda naye angeweza kuandika kitabu chake ndiyo ujue hujui
 
Back
Top Bottom