Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Lucas mwashambwa wakati mwingine sio lazima kuleta mizaha kejeri, dharau na lugha za maudhii ni nini hapo unacho taka kukifanya .Acha uzushi wako hapa wewe. Nani kakupa taarifa kuwa wapo chini ya ulinzi ilihali unasema hawana simu kwa kuwa wamenyang'anywa.
Sasa kama unajua unatafutwa na hutaki usumbufu kwa wazazi wako. Kwanini usiende kujisalimisha kituo cha polisi.
Nenda polisi ukatoe maelezo unayotoa hapa na siyo kuja kulialia hapa na kuichafua serikali yetu.
mimi nikikulaani vikali lazima udanje.Hivi hili neno "Nalaani/tunalaani vikali" lilishawahi wahi kuleta impact yoyote toka lianze kutumika??
Ndugu zangu, Muda huu (mchana wa leo Disemba 20, 2025) askari wenye silaha wapo nyumbani kwa wazee wangu, kijiji cha Old Moshi Kidia. Leo wameenda na magari mawili, yenye namba za usajili.
Wamemuweka mama yangu mzazi(70) chini ya ulinzi na wamemnyang'anya simu. Majirani walioenda kushuhudia, nao wamewekwa chini ya ulinzi!
Tumewasiliana na Mwenyekiti wa Kijiji ili aende kujua nini kinaendelea lakini naye sasa hapatikani (bila shaka nae kawekwa chini ya ulinzi). Mpaka sasa hatujui nini kinaendelea.
Nalaani vikali tukio hili la kinyama. Ikiwa Polisi wananitafuta mimi, zipo njia nyingi wanaweza kutumia zilizowekwa kwa mujibu wa Sheria za Nchi kuliko kuwaghasi wazazi wangu ambao ni wazee. Huu ni unyama na haukubaliki
Tukio hili limetokea leo baada ya jana kutoa taarifa ya watu wasiojulikana (ambao hawakujitambulisha wala kuwa na magari yenye namba) kuvamia nyumbani usiku wa manane na kukata umeme.
Marafiki zetu ambao ni mawakili waliopo Moshi wanaelekea kijijini kutoa msaada wa kisheria. Naomba watu wa Old Moshi Kidia muende kwa wingi hapo nyumbani kujua kinachoendelea.
Uovu huu usikaliwe kimya!
KWa hiyo utaki aende kuripoti polisi?Lucas mwashambwa wakati mwingine sio lazima kuleta mizaha kejeri, dharau na lugha za maudhii ni nini hapo unacho taka kukifanya .
Kama hukubaliani na alichokisema basi wewe utakuwa unaufahamu ukweli. Tupe huo ukweli wako.Sema kuna kitu Malisa hajasema. Kwanini Polisi waende kwao na kuleta huo usumbufu? Ninaona kama vile Malisa ana kesi inayomhusu hivyo kaamua kuwatoroka Polisi. Pia baba yake Malisa ni inspekta wa polisi mstaafu. Malisa aweke kila kitu wazi.
Mwambie aende polisi na siyo kulialia humuUfala huo Mzee hata kama unalipwa hiyo huku tatu
Sasa kwanini asiende polisi? Acheni kulia lia kama kengeleWe jamaa uko damaged beyond repair.
Kwahiyo hakuna majirani au ndugu wenye simu wanao weza kuwasiliana naye.
Huko polisi mnataka mkamteke mmpooteze mana hizi kazi za kuteka na kupoteza watu ni inside job ya wahuni na policcm.
Huyu Bi.Mkubwa nchi imemshinda.Ndugu zangu, Muda huu (mchana wa leo Disemba 20, 2025) askari wenye silaha wapo nyumbani kwa wazee wangu, kijiji cha Old Moshi Kidia. Leo wameenda na magari mawili, yenye namba za usajili.
Wamemuweka mama yangu mzazi(70) chini ya ulinzi na wamemnyang'anya simu. Majirani walioenda kushuhudia, nao wamewekwa chini ya ulinzi!
Tumewasiliana na Mwenyekiti wa Kijiji ili aende kujua nini kinaendelea lakini naye sasa hapatikani (bila shaka nae kawekwa chini ya ulinzi). Mpaka sasa hatujui nini kinaendelea.
Nalaani vikali tukio hili la kinyama. Ikiwa Polisi wananitafuta mimi, zipo njia nyingi wanaweza kutumia zilizowekwa kwa mujibu wa Sheria za Nchi kuliko kuwaghasi wazazi wangu ambao ni wazee. Huu ni unyama na haukubaliki
Tukio hili limetokea leo baada ya jana kutoa taarifa ya watu wasiojulikana (ambao hawakujitambulisha wala kuwa na magari yenye namba) kuvamia nyumbani usiku wa manane na kukata umeme.
Marafiki zetu ambao ni mawakili waliopo Moshi wanaelekea kijijini kutoa msaada wa kisheria. Naomba watu wa Old Moshi Kidia muende kwa wingi hapo nyumbani kujua kinachoendelea.
Uovu huu usikaliwe kimya!
Wewe jamaa anayekufira huwa hakufiri vizuri.Sasa kwanini asiende polisi? Acheni kulia lia kama kengele
Embu acheni ujinga wenu hapa nyie. Kwanini hamtaki aende polisi kuripoti?Lucas usiwe mjinga wa kiwango hiki.
Unachokifanya hata hao walioenda hapo kwa Kina Malisa, waliowatuma wote wanakuona hamnazo.
Wewe unafikiri wao watakuona wa maana? Wenzako wapo kazini, wewe? Wenzako wameagizwa, wewe?
Kama huwezi kutetea wanaoonewa kaa kimya. Kwa sababu muoneaji anajua anachokifanya. Wewe unayeshabikia uonevu unafikiri hata hao waonevu wanakuona upo upande wao?
Wanakuona Snitch. Coward.
Watu kama nyie mtu haitaji kulipwa kuwafanyia ubaya.
Usipende kushabikia michezo ya kihuni wakati wewe sio mshiriki.
Hautakuwa upande wowote ule.
Sio wa muoneaji wala muonewa.
Kuna watu wanadhani wewe ni msukule na mara zote ninapowaambia kuwa wewe ni msomi wa ngazi ya chuo kikuu tena Mwalimu wananikatalia.Acha uzushi wako hapa wewe. Nani kakupa taarifa kuwa wapo chini ya ulinzi ilihali unasema hawana simu kwa kuwa wamenyang'anywa.
Sasa kama unajua unatafutwa na hutaki usumbufu kwa wazazi wako. Kwanini usiende kujisalimisha kituo cha polisi.
Nenda polisi ukatoe maelezo unayotoa hapa na siyo kuja kulialia hapa na kuichafua serikali yetu.
Majambazi wamevalishwa magwanda ya polisi...Daah tumefika pabaya
Nilitaka nikujibu tusi kama ulivyofanya ila kiustaarabu kabisa wewe K♡ma nimekusamehe.Acha upumbavu
Matusi sio jambo jema ndugu. Ni uk♡ma kumtukana mtu badala ya kujibu hoja.Wewe ni mpbavu kweli. Anayetakiwa kusema hayo ni Malisa au polisi? Wazazi wake wana uhusiano gani ma kesi hiyo, Kama itKuwepo unavodai?
Kwenu nyinyi mtu ambaye sio CCM au anaepinga siasa za malkia wenu ni haramia. Mtalipwa na Mungu.Gentleman,
there is no rooms for criminals ni TZ, but also there is completely no escape roots for terrorists and mercenaries.
And be informed that,
hakuna kuona huruma, hakuna kuona haya wala kuona aibu kumshughulikia haramia au gaidi anaeharibu miundombinu ya umma au binafsi ya waTanzania. Toa ushirikianao kwa vyombo vya ulinzi na usalama ikiwa ni raia mwema
"Usipende kushabikia michezo ya kihuni wakati wewe sio mshiriki.Lucas usiwe mjinga wa kiwango hiki.
Unachokifanya hata hao walioenda hapo kwa Kina Malisa, waliowatuma wote wanakuona hamnazo.
Wewe unafikiri wao watakuona wa maana? Wenzako wapo kazini, wewe? Wenzako wameagizwa, wewe?
Kama huwezi kutetea wanaoonewa kaa kimya. Kwa sababu muoneaji anajua anachokifanya. Wewe unayeshabikia uonevu unafikiri hata hao waonevu wanakuona upo upande wao?
Wanakuona Snitch. Coward.
Watu kama nyie mtu haitaji kulipwa kuwafanyia ubaya.
Usipende kushabikia michezo ya kihuni wakati wewe sio mshiriki.
Hautakuwa upande wowote ule.
Sio wa muoneaji wala muonewa.
Wewe kuna siku utakuja katwa kichwa hadharani mark my words.Acha uzushi wako hapa wewe. Nani kakupa taarifa kuwa wapo chini ya ulinzi ilihali unasema hawana simu kwa kuwa wamenyang'anywa.
Sasa kama unajua unatafutwa na hutaki usumbufu kwa wazazi wako. Kwanini usiende kujisalimisha kituo cha polisi.
Nenda polisi ukatoe maelezo unayotoa hapa na siyo kuja kulialia hapa na kuichafua serikali yetu.
Kwa hiyo hamtaki kwenda kituo cha polisi kutoa taarifa?Wewe kuna siku utakuja katwa kichwa hadharani mark my words.