Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #81
Umesema nini lako limetulia 🤭 ?Huu uzi kama unahusu both wanawake na wanaume , naomba huyu "du langu" atolewe humu. Haiwezekani nasoma comment imeandikwa "dudu langu said..." wakati sio kweli naliona limetulia. Dudu langu please tulia tuli🙃!
😀😀😀😀😀 napenda kukaa kama churaZingatia dogs style 🐕
Pa kuangalia mpira hapo au night life, kuparty kidogo?Dom , maisha club, au chako ni chako
I was miss you...My son 🤗
Wew hilo ninalo mimi la kwangu ni refu mama mpaka nikiamka nashindwa kulizuaia kwenye tauloo....
Aah we! Tabu yote ya nini na wanangu wananisubiri tukakiwashe mahala🤣Jifiche hata chooni kula pombe
Tulione bas
Arena loungePa kuangalia mpira hapo au night life, kuparty kidogo?
Wasalimie ng😱mbe hao. Waambie sisi hatujamboAchana na pesa, taja kitu kingine halafu muite Mtanzania mwenzako unayemfahamu humu jukwaani naye atuambie yeye ni nini inabidi asikose.
Ila tuna nchi nzuri jamani, niko maporini natazama mazingira ya mama Tanzania, mimi furaha yangu nisikose kifurushi cha internet na kagari ka kupigia roadtrip (Na mengineyo yanayoweza kufanyika gari ikiwa kwenye parking mode 😉) .
View attachment 3631681
View attachment 3631737
View attachment 3631685
(PS: Mnaoijua Dodoma, tuambieni kiwanja kipi kizuri kuangalizia mechi ya final ya WC kesho?)
Safi mimi nina shift mbaya sana leo , ila lazima niwake😄Aah we! Tabu yote ya nini na wanangu wananisubiri tukakiwashe mahala🤣
Kabisa ,sema pombe zikipanda huwa tabuKwa hatua tuliyofikia kama nchi, mguu wa kuku ni muhimu nyakati hizi ili uishi kwa kujiamini.
Daddy angu mbaga nimempa likizo ya uzazi.Mbaga Jr wako yu wapi kwani...?
😂😂😂😂
Ila we mtoto ada yetu uliharibu tu 😎I was miss you...
Nipo naye, kuna shughuli tumetoka kufanya humu ndani ya gariUpo na baba wa kambo kwani
Mbona kama mwetu secretarybird 🤣
Mambo nisiyoyapenda mimi kabisa 🚮Mbona kama mwetu secretarybird 🤣
Jikaze, waka hata kesho..Safi mimi nina shift mbaya sana leo , ila lazima niwake😄
Kivip?😃Mambo nisiyoyapenda mimi kabisa 🚮
Kamd amekukiss je atafanyajeNimempa likizo ya uzazi.