Malkia Amanirenas: Shujaa wa kiafrika aliyeishinda dola ya Kirumi

nin

ninakupa mpendwa na samahani kwa kuwa kimya mda mrefu......

soon nitaanza kutoa michango yangu kirefu zaidi kwa hizi mada zako......

MUNGU ATUBARIKI SOTE
Mkuu unaadimika sana mpaka nakusaka kwa tochi wwe ni hazina asee usiwe unajificha sana maarifa yako bado tunayahitaji huku hasa kuchambua maandiko matakatifu
 
Ndiyo maana Uchina na Korea baada ya vita ya pili ya dunia mwaka 1945 waliamua kuchoma moto kila aina ya upuuzi wa kijapan na wazungu na kupiga marufuku kabisa mafundisho ya kipuuzi ambayo yanahubiri kwamba kuna jamii fulani ni bora kuliko nyingine.
Walifanya jambo la msingi sana. Wasomi wetu wangejaribu kuandika historia zetu na kuziweka maktaba pia zitumike mashuleni japo kutuamsha.
 
Pamoja na kupenda kujisomea nikiwa sekondari hicho kitabu sikuwai kukutana nacho ndiyo maana nikauliza.
Mkuu,
Umesoma sekondari miaka gani ???
Shule yenu ilikuwa ina maktaba kubwa ???
Wakati mimi nasoma Shakespeare na The Iliad zilikuwepo maktaba ya shule. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mekeda au Bilkis alitawala kipindi ambacho ufalme wa Sheba ulikuwa ndiyo unatawala hadi ufalme wa Misri.
Ndiyo maana alivyoenda kwa Suleimani alitambulishwa kama Malkia wa Misri na Sheba. Mekeda alienda kumjaribu Mfalme Suleimani kwasababu kipindi hicho kabla ya Suleimani kuwa mfalme, yeye ndiyo alikuwa anasifika kwa Utajiri na Akili nyingi hapa duniani. Kwenda kule alichokiona kilimfanya abaki mdomo wazi tu na kwasababu alikuwa hana mwanaume akaona ni vyema kabisa azae na Suleimani ndiyo wakamzaa Mfalme Menelik I au David II.

Ikumbukwe mfalme Suleimani mbali na kuwa na mali nyingi sana.
Sehemu kubwa ya utajiri wake ilikuwa ni Urithi kutoka kwa baba yake Mfalme Daudi. Lile hekalu na kasri lake la kifalme vilikuwa ni utajiri ulioachwa na Daudi. Mfano mzuri tu Daudi alianga madini ya thamani kwa ajili ya kujengea hekalu ambapo katika kiwango cha leo gharama yake ilikuwa ni 20 Billion USD ambazo ni sawa na Trillion 40 na ushee (Bajeti ya nchi kwa miaka 2 hivi). Sasa Malkia wa Sheba kuona haya akawa mpole tu. Nebukadrezza na Farau walivyovamia Israel walipata utajiri mwingi sanaaa.

Huyo Cleopatra huwa simhesabii sana kama Malkia wa Afrika kwasababu alikuwa ni Mgiriki.
Baada ya Alexander kufa na ufalme wake kugawanyika vipande vinne, jemedari wa Alexander aitwaye Ptolemy ndiyo alipewa Misri (Kemet) atawale. Sasa Cleopatra ni mzao wa Ptolemy ndiyo maana mimi huwa sipendi kumchukulia kama mmisri asilia. Japo hata hivyo zaidi ya kutumia ngono kuwalaghai wanaume wa Kirumi alikuwa hana cha ziada kama hawa wakina Mekeda na Amanirenas.
Je huyu Malkia mwanamke ndiyo yule aliye kwenye Quran, Surat An Naml (20 - 44)?
 
Last edited:

daaah jf raha sanaaaa
JF rahaj
 
Hiyo Surat inamzungumziaje ?
Na akawakagua ndege, na akasema: Imekuwaje, mbona simwoni Hud-hud, au amekuwa miongoni mwa walio ghibu?

Kwa yakini nitamuadhibu kwa adhabu kali, au nitamchinja, au aniletee hoja ya kutosha.

Basi (Hud-hud) akakaa si mbali na akasema: Nimegundua usilo gundua wewe, na ninakujia hivi kutoka nchi ya Sabai, na nakuletea khabari za yakini.

Hakika mimi nimemkuta mwanamke anawatawala, naye amepewa kila kitu, na anacho kiti cha enzi kikubwa.

Nimemkuta yeye na watu wake wanalisujudia jua badala ya Mwenyezi Mungu; na Shet'ani amewapambia vitendo vyao na akawazuilia Njia. Kwa hivyo hawakuongoka,

Na hawamsujudii Mwenyezi Mungu ambaye huyatoa yaliyo fichikana katika mbingu na ardhi, na anayajua mnayo yaficha na mnayo yatangaza.

Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye, Mola Mlezi wa A'rshi tukufu..

Akasema (Sulaiman): Tutatazama umesema kweli au wewe ni miongoni mwa waongo.

Nenda na barua yangu hii na uwafikishie, kisha waache na utazame watarejesha nini.

(Malkia) akasema: Enyi wahishimiwa! Hakika nimeletewa barua tukufu.

Imetoka kwa Sulaiman nayo ni: Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.

Msinifanyie jeuri, na fikeni kwangu nanyi mmekwisha kuwa wenye kusalimu amri.

Akasema: Enyi wahishimiwa! Nipeni shauri katika jambo langu hili, kwani mimi sikati shauri yoyote mpaka mhudhurie.

Wakasema: Sisi ni wenye nguvu na wakali kwa vita; na amri iko kwako, basi tazama ni nini unaamrisha.
 
Maneno mengine yamekata.
 
Back
Top Bottom