Malkia Elizabeth kalala kuzimu. Je, karma itachukua mkondo wake?

Mkuu Mshana Jr, kwanza asante sana kwa faraja yako.

Pili karma sio imani ya kipagani, ni imani ya dini za Hindu na Budhisim, nakuomba wasio Wakristu na Waislamu tusiwaite wapagani!.

Nikitulia nitapandisha bandiko la shukrani kwa walioniaminia na kunisupport, ila chama changu CCM kimefanya uamuzi wa haki kabisa, kwa hao walioteuliwa CCM, mimi wamenizidi sana kwa sifa na vigezo!.

Ila pia lazima nikubali madhaifu yangu, maama mimi nami...!, inawezekana ni karma ya matendo yangu ya nyuma pia imechangia, its good nimejitambua, not to accumuletes more negative karma, maana hata kwenye yale mambo yetu yale... idadi ya nilio ... kwa ahadi ya ... imepita triple digits!, hivyo you can imagine!.

Kwa mzalendo wa kweli wa nchi yake, kutokuteuliwa kugombea nafasi fulani hakukufanyi ushindwe kuitumikia nchi yako, mimi bado ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea nikiendelea kuandika na kutangaza, pia ni wakili wa kujitegemea kwa kujitolea kutetea bure masikini na wasio na uwezo wa kuweka wakili.
RIP Queen Liz.
P.
 
pia lazima nikubali madhaifu yangu, maama mimi nami...!, inawezekana ni karma ya matendo yangu ya nyuma pia imechangia, its good nimejitambua, not to accumuletes more negative karma, maana hata kwenye yale mambo yetu yale... idadi ya nilio ... kwa ahadi ya ... imepita triple digits!, hivyo you can imagine!.[emoji23]
I can imagine 3000+ nakukumbuka sana mitaa ya Sinza Maeda bar n so on... But brother on serious case have change of scene [emoji2827]! Hii neutralism iache sasa.. It has brought to you more harms than 'goods' (if I can put it in that way)
 
Ziada ya maarifa

Ngome ya Balmoral au Kasri la Balmoral (the Balmoral Castle), haya ni Makazi ya Malkia Elizabeth II yaliyoko katika Mkoa wa Aberdeen (Aberdeenshire) nchini Scotland, ambayo ni moja ya nchi 3 zinazounda Great Britain, nazo ni England, Scotland na Wales. Scotland pia ni moja ya nchi 4 zinazounda Uingereza (United Kingdom) ambazo ni England, Scotland, Wales na Northern Ireland.

Balmoral Castle ndipo mahali ambapo Malkia Elizabeth II alimalizia safari ya maisha yake hapa duniani. Balmoral Castle ilianza kujengwa mwaka 1853 na kumalizika mwaka 1856, yaani miaka 166 iliyopita. Mikoa mingi ya Uingereza ina Kasri angalau moja ambayo ni Makazi ya Malkia na sasa ni Makazi ya Mfalme Charles III. Makasri hayo yalijengwa zamani sana.
 
But brother on serious case have change of yourself [emoji2827]! Hii neutralism iache sasa.. It has brought to you more harms than 'goods' (if I can put it in that way)
Better be safe than sorry!, the only way to remain safe, is to be neutral!, and you never know, labda ndio maana bado nipo mpaka leo, na nitaendelea kuwepo!.
P
 
Dua kuku ilo hakuna karma kwenye haya maisha ww ish uwezavyo unafkr malikia elizabeth kawafanya waingereza wangap kua na maisha mazur pale wale wanamshukuru na kumuombea system ya dunian n survival of the fittest
 

Nan kazaliwa mara mbili na akakumbuka memory zake?
 
Waafrika hatujawahi kuacha kulalamika na kujitia unyonge
 
Matatizo yote ya
Just to remind you guys, haya yoote walituletea wao.
Mambo dini, imani za kizungu, mambo ya nani ni mpagani na sio mpagani ni wao hao hao.

Naona hata haya mambo ya karma, hayatuhusu waafrika kwa maaana walikuja wakatukuta na imani zetu...!
Matatizo yote ya mwafrika chanzo ni laana ya kujifungamanisha na mizimu.Mizimu haipataani na mambo ya maendeleo.
Watu wakiendelea wataacha kuabudu mizimu
 
Matatizo yote ya
Matatizo yote ya mwafrika chanzo ni laana ya kujifungamanisha na mizimu.Mizimu haipataani na mambo ya maendeleo.
Watu wakiendelea wataacha kuabudu mizimu
Wazungu ndio namba moja katika kuamini MIZIMU ila wao wameadvance! ...
 
Matatizo yote ya
Matatizo yote ya mwafrika chanzo ni laana ya kujifungamanisha na mizimu.Mizimu haipataani na mambo ya maendeleo.
Watu wakiendelea wataacha kuabudu mizimu
Wazungu ndio namba moja katika kuamini MIZIMU ila wao wameadvance!
Kama umewahi kukaa nao karibu ndio utafahamu haya..
N.b,NI ngumu Kwa dutch kuacha kula bata bukini mwisho wa mwaka.
 
Wazungu ndio namba moja katika kuamini MIZIMU ila wao wameadvance!
Kama umewahi kukaa nao karibu ndio utafahamu haya..
N.b,NI ngumu Kwa dutch kuacha kula bata bukini mwisho wa mwaka.
SAsa mbona wao Wana maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…