- Thread starter
- #81
whatspp 0717-518359Niwekee no iliyoko watsap au nicheki 0767320155
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
whatspp 0717-518359Niwekee no iliyoko watsap au nicheki 0767320155
mkuu cheki kwenye matangazo ya wadau wengine wanaouza magari. hapa ni malori tu.Mkuu Mkopo wamagari madogo madogo hamtowi? Kama Gari aina ya NOAH, nazingine?
Ulisema pia mna coasta za kuweza kubeba watu 30 ni sh ngap weka na picha yake tuoneHowo na sitrak ni malori yanyotengenezwa na kampuni ya Sinotruck ya kutoka china. zote zimetengenezwa kwa standard ya europe. hazitoi moshi wa kuchafua mazingira, ni nafuu kwa safari ndefu, hazitumii mafuta mengi, km 4 kwa lita. tunatoa warranty ya miaka 3 kwa malori yetu. spea na service tunakufanyia. Na ni bei nafuu kuliko malori menigine mapya. simu 0767-379412.
Maisha yanabadilika bosi. leo nauza mkaa kesho nauza mchanga.Mzee naona umetukimbia Honda
Poa ntakuwekea leo jioni.Ulisema pia mna coasta za kuweza kubeba watu 30 ni sh ngap weka na picha yake tuone
Poa ntakuwekea leo jioni.
Bei gan hapa