Car4Sale Malori mapya ya kichina yanauzwa

Car4Sale Malori mapya ya kichina yanauzwa

IMG_20180305_104910.jpg
 
JIPATIE LORI MPYA YA SITRAK. LORI YENYE HORSE POWER YA 391, ENGINE DIESEL 4 STROKE, INA CABIN NZURI KWA DEREVA NA UTINGO WAKE. INAVUTA TELA YA TANI 30. INA NGUVU KWENYE MILIMA. IMETENGENEZWA KWA STANDARD YA MJERUMANI. HAILAMBI MAFUTA MENGI. LITA 33 KWA KM 100 TU. VIPURI VINAPATIKANA KWETU. WARRANTI YA MIAKA 2 AU GARI IKIFIKISHA KM 200,000. KWA MAELEZO YA MIKOPO YETU TUNATOA VIPI?? NIPIGIE SIMU NAPATIKANA KWENYE NAMBA 0767-379412 NA 0717-518359. .
KWA WANAOPIGA SIMU KUULIZA MALORI YA MTUMBA SISI HATUUZI MALORI YA MTUMBA JAMANI. TUNAUZA MALORI MAPYA TU.
 
Mkuu Mkopo wamagari madogo madogo hamtowi? Kama Gari aina ya NOAH, nazingine?
 
Howo na sitrak ni malori yanyotengenezwa na kampuni ya Sinotruck ya kutoka china. zote zimetengenezwa kwa standard ya europe. hazitoi moshi wa kuchafua mazingira, ni nafuu kwa safari ndefu, hazitumii mafuta mengi, km 4 kwa lita. tunatoa warranty ya miaka 3 kwa malori yetu. spea na service tunakufanyia. Na ni bei nafuu kuliko malori menigine mapya. simu 0767-379412.
 
Ulisema pia mna coasta za kuweza kubeba watu 30 ni sh ngap weka na picha yake tuone
 
Back
Top Bottom