Malori yakwama bandarini Dar, madereva walalamikia ukiritimba na rushwa kurudi kama zamani

Ni kweli kabisa kuna watu hii nchi walikuwa na bado wanaamini bila Mwendazake hii nchi haiwezi kuwa nchi bali itaota miiba na vichaka!
Milele tena haipo!
Atake asitake tutampa, hayupo!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
makusanyo yameshuka toka trillion 2 hadi billion 300 kwa mwezi, TRA wanadai kwa sasa matajiri ndo wanapanga kiasi cha kutoa na si kile wanachostahili kutoa, tunakoelekea mungu pekee ndo anajua
 
makusanyo yameshuka toka trillion 2 hadi billion 300 kwa mwezi, TRA wanadai kwa sasa matajiri ndo wanapanga kiasi cha kutoa na si kile wanachostahili kutoa, tunakoelekea mungu pekee ndo anajua
Ikifikia bil. 300 kwa mwezi hata mishahara hamtapata dadeq! Ngoja tudekezwe, tulitaka hivyo.
 
makusanyo yameshuka toka trillion 2 hadi billion 300 kwa mwezi, TRA wanadai kwa sasa matajiri ndo wanapanga kiasi cha kutoa na si kile wanachostahili kutoa, tunakoelekea mungu pekee ndo anajua
SOURCE OF DATA TUNAOMBA USILAMBISHE WATU MATANGO PORI YA DADA #VERO
 
Umeona bandarani njoo huku umeme kanda ya ziwa umekuwa ukatika katika kila mara..na ndo kwanza hata miezi 3 haijaisha
 
makusanyo yameshuka toka trillion 2 hadi billion 300 kwa mwezi, TRA wanadai kwa sasa matajiri ndo wanapanga kiasi cha kutoa na si kile wanachostahili kutoa, tunakoelekea mungu pekee ndo anajua
na yule aliyekuwa anapanga meli fulani mapato yaingizwe account fulani alikuwa anapandisha mapato siyo?
 
Kiukweli yapo mambo mengi Magufuli aliyaweka sawa sana. Bandarini palikaa sawa,japo sio kwa asilimia zote ila mambo mengi yaliwekwa sawa. Hivi sasa rushwa imeanza kwa kasi hata kwa watu wa chini hawa waendesha mitambo ya kupakia. Soon tutashuhudia ule wizi wa kwenye makontena,kwenye magari yanayoingia unarudi kwa kasi.
 
WAKO WATU WAMEKUWA WA AJABU SANA,KAZI YAO WAPO KUSACHI INCLUSION ZINAZOTOKEA NDOGONDOGO ZINAZOWEZA KUTATULIWA KWA KUONYESHA UOZO MAHALA ULIPO NA NDIO HEKIMA SAHIHI,WAO WAKIIPATA INCLUSION WANAKUWA WAMEPATA DAWATI LA KUTOLEA YA MIOYONI MWAO KWA KULAUMU KWELIKWELI AS IF WAO HAWASTAHILI KUWA SEHEMU YA WATANZANIA WAPENDA NCHI YAO,"THATCHER ANA MIEZI 2 TU,MPAKA SASA,HATA MWENDAZAKE KABLA YA KUANZA LOLOTE ALIANZA KWA KUFANYA USAFI,AKAFUATIA ZIARA ZA KUSHTUKIZA AND SO SO,2 MONTH IS TOO EARLY TO JUDGE LET GIVES THATCHER TIME.
##may I declare influx ya mizigo katika miezi hii mitatu imekuwa ni kubwa kweli ni BARAKA iliyoje kwa taifa letu.
 
Kazi mnayo kweli kweli, Magu aliwabrain wash kisawasawa. Mnatunga vitu vingi wakati mnayemshabikia kashakwenda zake. Muache Samia ajipange na kazi iendelee, vinginevyo mtaonekana watoto.
 
makusanyo yameshuka toka trillion 2 hadi billion 300 kwa mwezi, TRA wanadai kwa sasa matajiri ndo wanapanga kiasi cha kutoa na si kile wanachostahili kutoa, tunakoelekea mungu pekee ndo anajua

Exaggeration.
 
Huwezi kuwa na taasisi imara wakati una rasilimali watu yenye mapungufu makubwa kama yetu. Mnalilia taasisi imara kwa watanzania wapi mkuu, hawa wezi, wavivu, wasio wazalendo? Taasisi imara zinaletwa na raia waliokuzwa katika malezi bora.
Huu wimbo wa taasisi imara nikusikia huwa nacheka sana! Wajuzi huwa nawauliza mbona USA baba wa demokrasia na taasisi imara kwenye uchaguzi uliopita TRUMP aligomea ikulu na hakuna walichoweza kufanya hadi katoka mwenyewe? Taasisi imara bila kiongozi au viongozi imara haina maana yoyote.
#MwacheniMamaAfanyeKazi
 
PIA SIO KILA KITU KINATATULIWA NA THATCHER PEKEE YAKE KWANI PIA TUNAYE WAZIRI MKUU MAKINI SANA NADHANI SO SOON KAMA KWELI SHIDA IPO ITATATULIWA HARAKA SANA.
 
Mafuta ya kula bado bei juu!!

Mawaziri husika ni kama vile wamegoma au wameshindwa kutatua kabisa hizi adha!
 
Naona coment zako nyingi zina jina la Magu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] huku mada ni msongamano wa magari bandarini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…