Logistics za kukusanya Mahindi Vijijini ni mtihani mkubwa. Kuna wakati unatumia hata Boda kufikisha mzigo kwenye Lorry.Hasara kubwa Sana hii Kwa wafanyabiashara.
Hii biashara naijua jinsi ilivyokuwa ngumu kwenye kukusanya mzigo alafu anatokea MTU wa ofisini anasema hakuna kuuza nje ya nchi... Tanzania ni nchi ngumu Sana Kwa mfanyabiashara