Mama amshauri mwanaye kuacha kazi kisa ndoa

Mambo ya watu wenye magego yaliyokomaa achana nayo.Utaota kibyongo/hunchback.
 
Hivi akina mama kuna wakati wanafikiri kwa kutumia kiungo cha chini tu au ni namna gani wenzangu? Inakuwaje mama amshairi senior accountant kuacha kazi na yeye kweli anamsikiliza mama na kuacha kazi? Akina mama wamerogwa na nani hasa?
tukuulize mama ww unafikiria na kiungo cha chini??
au mama yako anafikiribna kiungo cha chini??
 
Kwanza, hakukuwa na ulazima wa yeye kuharakia kuacha kazi badala yake angesubiri uhamisho hata kama ungechukua mwaka.

Watu mpaka mnafikia hatua ya kufunga ndoa mnapaswa kuelewa utafika wakati kutakuwa na utengano iwe kikazi au kiafya (ugonjwa n.k)
Hivyo suala la kuhamishwa mume kikazi sio la ajabu wala haliwezi kuonekana kama tatizo.

Vipi kama mume huyohuyo akipangiwa kwenda masomoni nje ya nchi? Hatoenda sababu ya ndoa?

Nafikiri ndoa ni uvumilivu, uaminifu na maelewano. Kuhamishwa kikazi ni jambo dogo sana mke kuacha kazi harakaharaka kumfuata mume.
 
Itakua
Itakuwa hukulelewa hukelelewa nyumbani bali umejilea mtaani.
Hivi unafahamu madhara ya NDOA ZA BLUETOOTH KWA MALEZI YA WATOTO?
Kwa nini hukuelekeza LAWAMA ZAKO USITAWI WA JAMII AU SERIKSLINI KWA KUTOTOA UHAMISHO KWA WATUMISHI NDANI YA MUDA MUAFAKA ETI UNATAKA MUENDELEE KULAWITI WATOTO KUTOKANA NA KUKOSA UANGALIZI,PUMBUVA KABISA WEWE.
 
Ama kweli wewe ni Mnafiki Wa Kujitegemea . Mimi kutoa maoni yangu hapa kuna uhusiano gani na mipango ya serikali kuhusu uhamisho wa watumishi wake?

Kuna watu wanaomba uhamisho na kufanikiwa kuhama baada ya miaka 5. Yeye ameomba kuhama haujaisha hata mwaka mmoja anaaacha kazi halafu unataka serikali imuonee huruma? You cant be serious mkuu.

Mheshimiwa Dkt. Gwajima D tafadhali njoo huku usikilize kilio cha wananchi wako.
 
Pale kichwa cha chini kinapozidi akili kichwa cha juu!

Maamuzi ya kijuha kuwahi kutokea..

Cc Smart911
Imasikitisha sana mkuu. Halafu humu kuna watu wanapenda sana m.boo eti wanamuunga mkono mpenda m.boo mwenzao. Inahudhunisha sana aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…