Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi nimesema aonewe huruma?Ama kweli wewe ni Mnafiki Wa Kujitegemea . Mimi kutoa maoni yangu hapa kuna uhusiano gani na mipango ya serikali kuhusu uhamisho wa watumishi wake?
Kuna watu wanaomba uhamisho na kufanikiwa kuhama baada ya miaka 5. Yeye ameomba kuhama haujaisha hata mwaka mmoja anaaacha kazi halafu unataka serikali imuonee huruma? You cant be serious mkuu.
Mheshimiwa Dkt. Gwajima D tafadhali njoo huku usikilize kilio cha wananchi wako.
Yeah! Hapo ndipo akili zitakapomrudia. Hajui kuwa mwanaume hadhibitiwi kwa mbunye. Mwanaume akiamua kuchepuka au kukuacha hataangalia mbunye unayompa hata kidogo. Hapa ndipo wanawake wanapokosea.Siku ukiachwa unaanza moja huna mume,huna kazi,huna kipato
Serikali inahusikaje hapa mkuu? Hebu rudia tena kusoma uzi. Yeye aliondoka na kuacha kazi kwa kuwa alikuwa analazimisha ahamishwe immediately. Huwezi kuipangia serikali. Kuna watu wanaomba uhamisho leo anasubiri kwa miaka 10 ndipo anahanishwa. Usiipangie serikali mkuu.Wapi nimesema aonewe huruma?
Wewe itakuwa ni mlemavu wa fikira.
Kazi inafanywa kwa UFANISI pale tu UTULIVU wa AKILI na MAARIFA vinapokuwa na MUUNGANIKO MSAWAZO.
Kama huoni UHUSIKA WA SERIKALI kwenye mmomonyoko wa MAADILI na ONGEZEKO LA VITENDO VYA KIKATILI KWA WATOTO HAPA TANGANYIKA kwa kutokuzingatia KUUNGANISHA WANA NDOA basi unavyo vigezo vyote vya kutetea madai yako.
Ameokoa malezi ya wanae in future, God is the planner, let's don't judgeUpumbavu ni very subjective, unachokiona wewe upumbavu may seem different kwa mtu mwingine. Usipende sana kuwa judgemental
Samahani ni mazoea mabaya mmejengeana humu kila mtu kumtolea lugha chafu ama ni tabia yako tu.Wewe umeolewa? Uliwahi kuacha kazi kisa kufuata m.boo? Labda maswali yaanzie kwako mkuu.
Hao wanaomba uhamisho ndani ya hiyo miaka 10 sababu zinazopelekea waombe huo uhamisho unazifahamu?Serikali inahusikaje hapa mkuu? Hebu rudia tena kusoma uzi. Yeye aliondoka na kuacha kazi kwa kuwa alikuwa analazimisha ahamishwe immediately. Huwezi kuipangia serikali. Kuna watu wanaomba uhamisho leo anasubiri kwa miaka 10 ndipo anahanishwa. Usiipangie serikali mkuu.
Mkuu watu hawaishi Kwa mkate tuu!! Imagine mume Wake anaupendo wa dhati na anaweza kulea familia yake, ikiwa kumlisha mke wake na kusomesha Vijana wake!! Kwa umri wako na inavyoonekana umesoma pia, Mama Yako alikuwa mwajiriwa!? Wengi wa mama zetu hawakuwa waajiriwa!! Usikariri sana kuajiriwa, watu wameacha ajira na maisha yanasonga , Fursa Nyingi zipo Mtaani serekalini ni kubweteka TUAmeokoa malezi bila chakula? Wanaye watakula nini na watasomaje baada ya yeye kuacha kazi? Usitetee ujinga mkuu.
Kama kuhamishwa kikazi ni jambo kubwa vipi kupangiwa kuongeza elimu nje ya nchi kwa miaka mitatu na zaidi? Na vipi akipata ajali ikampa ulemavu wa maisha au ugonjwa wa kumuweka kitandani bila fahamu kwa miaka?Sio jambo dogo.
Umeolewa ?
Sio jambo dogo kwenye ndoa na ndio maana nikakuuliza umeolewa ? Mpaka sasa hujanijibuKama kuhamishwa kikazi ni jambo kubwa vipi kupangiwa kuongeza elimu nje ya nchi kwa miaka mitatu na zaidi? Na vipi akipata ajali ikampa ulemavu wa maisha au ugonjwa wa kumuweka kitandani bila fahamu kwa miaka?
Bado unasema uhamisho wa kikazi ni jambo kubwa?
Fursa gani zipo mtaani wakati unaona vijana waliomaliza vyuo wanavyohangaika mtaani? Hizo fursa labda zipo kwenye mtaa wako tu. Vinginevyo usingeweza kutoa majibu ya kosiasa kama haya.Mkuu watu hawaishi Kwa mkate tuu!! Imagine mume Wake anaupendo wa dhati na anaweza kulea familia yake, ikiwa kumlisha mke wake na kusomesha Vijana wake!! Kwa umri wako na inavyoonekana umesoma pia, Mama Yako alikuwa mwajiriwa!? Wengi wa mama zetu hawakuwa waajiriwa!! Usikariri sana kuajiriwa, watu wameacha ajira na maisha yanasonga , Fursa Nyingi zipo Mtaani serekalini ni kubweteka TU
Kwanza unakuwaje na mke anafanya kazi. Mke kazi yake kulea mume na watoto wakati baba anatafuta. Mama yuko sawa kabisa.Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mzzazi amemshauri binti yake kuacha kazi ili kumfuata nume wake ambaye amehamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine.
Kituko hiki kilitokea mnamo mwaka jana baada ya mume huyo kuhamishwa kutoka mkoa wa nyanda za juu kusini keenda mkoa wa kanda ya ziwa. Mume alipopata uhamisho, mke wake mwenye mtoto mmoja, ,aliyeolewa yapata miaka 3 iliyopita, alijaribu kuomba uhamisho ili kumfuata mumewe lakini waajiri wake walionekana kuchelewesha uhamisho wake wakati yeye aliomba kumfuata mumewe haraka iwezekanavyo.
Alipoona uhamisho unachelewa alimuendea mama yake mzazi kumuomba ushauri nini afanye. Bila kumumunya maneno, mama yake alimshauri kuacha kazi mara moja. 'Mume wako yupo kanda ya ziwa, wewe upo kanda ya nyanda za juu, hapo hakuna ndoa. Kama uhamisho wako unachelewa, acha kazi mara moja umfuate mumewe; shauri yako!' Alisikika mama akimshauri mwanaye.
Bila kusita, binti aliandika barua ya kuacha kazi yake ya uhasibu (senior accountant (CPA) na kumfuata mume. Sasa hivi ninapoandika uzi huu, huyo mwanamke ni mama wa nyumbani na hana namna ya kuajiriwa tena kwani umri wake umesogea.
MAONI YANGU
Hivi akina mama kuna wakati wanafikiri kwa kutumia kiungo cha chini tu au ni namna gani wenzangu? Inakuwaje mama amshairi senior accountant kuacha kazi na yeye kweli anamsikiliza mama na kuacha kazi? Akina mama wamerogwa na nani hasa?
Huu ushauri ungetolewa kwa mwanaume nina hakika angeupuuzilia mbali. Kwa kuwa akina mama alkili zao zinaishia kwenye urefu wa pua zao, ndio maana wanaweza kushawishika kuacha kazi kwa sababu tu ya kufuata m.b00 ambayo hata ichepuke kiasi gani haiishi.
Je, ingekuwa wewe mwanaJF ndiye umepewa ushauri wa aina hii, ungemsikiliza mama yako au ungetupilia mbali ushauri wake?
Wanawake kama hawa ndio wale mume wao akienda kusoma nao wanaacha kazi kumfuata chuoni. Taifa hili lina watu wa ovyo sana.Kama kuhamishwa kikazi ni jambo kubwa vipi kupangiwa kuongeza elimu nje ya nchi kwa miaka mitatu na zaidi? Na vipi akipata ajali ikampa ulemavu wa maisha au ugonjwa wa kumuweka kitandani bila fahamu kwa miaka?
Bado unasema uhamisho wa kikazi ni jambo kubwa?