Mama amshauri mwanaye kuacha kazi kisa ndoa

Wapi nimesema aonewe huruma?
Wewe itakuwa ni mlemavu wa fikira.
Kazi inafanywa kwa UFANISI pale tu UTULIVU wa AKILI na MAARIFA vinapokuwa na MUUNGANIKO MSAWAZO.

Kama huoni UHUSIKA WA SERIKALI kwenye mmomonyoko wa MAADILI na ONGEZEKO LA VITENDO VYA KIKATILI KWA WATOTO HAPA TANGANYIKA kwa kutokuzingatia KUUNGANISHA WANA NDOA basi unavyo vigezo vyote vya kutetea madai yako.
 
Siku ukiachwa unaanza moja huna mume,huna kazi,huna kipato
Yeah! Hapo ndipo akili zitakapomrudia. Hajui kuwa mwanaume hadhibitiwi kwa mbunye. Mwanaume akiamua kuchepuka au kukuacha hataangalia mbunye unayompa hata kidogo. Hapa ndipo wanawake wanapokosea.
 
Serikali inahusikaje hapa mkuu? Hebu rudia tena kusoma uzi. Yeye aliondoka na kuacha kazi kwa kuwa alikuwa analazimisha ahamishwe immediately. Huwezi kuipangia serikali. Kuna watu wanaomba uhamisho leo anasubiri kwa miaka 10 ndipo anahanishwa. Usiipangie serikali mkuu.
 
Sio jambo dogo.

Umeolewa ?
Wewe umeolewa? Uliwahi kuacha kazi kisa kufuata m.boo? Labda maswali yaanzie kwako mkuu.

Zingatia kwamba m.boo ni kitu cha muda lakini kazi nj kitu cha kudumu.
 
Wewe umeolewa? Uliwahi kuacha kazi kisa kufuata m.boo? Labda maswali yaanzie kwako mkuu.
Samahani ni mazoea mabaya mmejengeana humu kila mtu kumtolea lugha chafu ama ni tabia yako tu.

Binafsi huwa sishiriki mijadala inayovuka kiwango cha juu cha ustaarabu kisicho na heshima kwangu.

Shukuru nimekueleza hili kama unaweza badili mtazamo wako waweza kunihoji katika namna ya kistaarabu sita sita kukujibu usipobadili fikra zako itakuwa ndio asante yangu kwako.
 
Ameokoa malezi ya wanae in future, God is the planner, let's don't judge
Ameokoa malezi bila chakula? Wanaye watakula nini na watasomaje baada ya yeye kuacha kazi? Usitetee ujinga mkuu.
 
Hao wanaomba uhamisho ndani ya hiyo miaka 10 sababu zinazopelekea waombe huo uhamisho unazifahamu?

Zamani na leo namna ya mtu kupewa uhamisho hata kama ana sababu kama Kuwa karibu na mzazi wake ambaye ni mzee sana na ni mgonjwa,kumfuata mwenza wake wa ndoa,kuwa karibu na hospital ili aweze kupata matibabu pengine kutokana na kuwa na ugonjwa wa kudumu zina fanana?
 
kapisha nafasi ya mwingine kuajiriwa. kilio chako kwa mwingine furaha. sio kila msiba huzuni. misiba mingine furaha
 
Ameokoa malezi bila chakula? Wanaye watakula nini na watasomaje baada ya yeye kuacha kazi? Usitetee ujinga mkuu.
Mkuu watu hawaishi Kwa mkate tuu!! Imagine mume Wake anaupendo wa dhati na anaweza kulea familia yake, ikiwa kumlisha mke wake na kusomesha Vijana wake!! Kwa umri wako na inavyoonekana umesoma pia, Mama Yako alikuwa mwajiriwa!? Wengi wa mama zetu hawakuwa waajiriwa!! Usikariri sana kuajiriwa, watu wameacha ajira na maisha yanasonga , Fursa Nyingi zipo Mtaani serekalini ni kubweteka TU
 
Sio jambo dogo kwenye ndoa na ndio maana nikakuuliza umeolewa ? Mpaka sasa hujanijibu
 
Fursa gani zipo mtaani wakati unaona vijana waliomaliza vyuo wanavyohangaika mtaani? Hizo fursa labda zipo kwenye mtaa wako tu. Vinginevyo usingeweza kutoa majibu ya kosiasa kama haya.
 
Yaani mtu umegharimia professional Yako, Kwa miaka mingi, alafu unaacha kazi Kwa sababu ya ndoa! What a messy! What a rotten thinking!
Akili za akina mama zimelaaniwa na shetani sio bure!
 
Kwanza unakuwaje na mke anafanya kazi. Mke kazi yake kulea mume na watoto wakati baba anatafuta. Mama yuko sawa kabisa.
 
Wanawake kama hawa ndio wale mume wao akienda kusoma nao wanaacha kazi kumfuata chuoni. Taifa hili lina watu wa ovyo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…