Mama amshauri mwanaye kuacha kazi kisa ndoa

Mbona kama ushauri umetoka kwa mme? Kwani kuwa mama wa nyumbani ni vibaya? Kama wao hawalalamiki wewe kwa nini ulalamike unawalisha?
 
Huenda alikua mchepuko wake kazini akajua sasa atakua anajilia kila atakavyo. Ila ndo hivyo cha jirani hakistill matrak....
 
Binafsi naona mama huyo yuko sahihi, na mwanamke pia bado ni mwerevu na anaipenda familia yake.

Binafsi siwezi kukubali niwe na mke yupo kikazi mkoa tofauti na mm nilipo. Hii nimekataa imeshacost relationships zangu 2 mpaka sasa
Kwani mwanamke akikaa mkoa tofauti anakuwa haipendi familia yake mkuu?
 
Kwani mwanamke akikaa mkoa tofauti anakuwa haipendi familia yake mkuuAnawwza

Kwani mwanamke akikaa mkoa tofauti anakuwa haipendi familia yake mkuu?
Hata kama anaipenda. Shida ni upweke na vishawishi, Mwisho wa aiku mnakua na mahusiano ya watu wa4.

Na mwishowe mnavunja ndoa, nani anataka hayo? Hivi kazi ni lazima ufanye uko ulipo tu?
 
Napenda Sana huyo mama amekuwa Short and direct kumwambia binti yake afanye lolote ili asikose ndoa.
 
Ukiwa karibu na ndoa baada ya kuacha kazi unapata shilingi ngapi mkuu?
Hilo ni jukumu la mume ku provide sasa swali lako halina formula, wako watu wanawapa wake zao pesa kuliko mishahara. Mimi nampa mke wangu sawa na mishahara ya watu wa tano wafanyakazi wa serikali na wengine wanatoa kwa uwezo wao. Ndoa ni muhimu kuliko hizo kazi uchwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…