Mama ana uchungu wa kuzaa mwaka huu. (2025-1964=61)!

Mimba ikishafikisha miezi 9,

Sharti izaliwe awe mtoto.

Sasa haya ni majira ya uchungu wa mimba.
Fanyeni abortion chap asije zaliwa kiazi mmoja akawa mwizi
 
Ndio maana tunasema kataa ndoa, ndoa za namna hii ni za kipumbavu, baada ya mama kupata mtoto, akampiga limbwata baba wa mtoto, mali zote akajimilikisha yeye na mtoto, wakati walielewana vizuri tu wakaingia katika ndoa tena kwa viapo vya udongo.

#KataaNdoa
 
Mtoto anafikisha birthday ya 61 years mwaka huu.

Na anajitambua,

Anataka uhuru, babaye ( Tanganyika)atollewe usukuleni

Sijui mnaelewa🤔

Nimeongea mambo ya kiroho yaliyotanda Anga la Tanzania mwaka huu 2025.
Sasa makafara ya watu na wanyama wanayofanya si ndio yanawapa way out ?
 
Okay
 
Ndoa ni nzuri,

Watoto wa sikuizi mnaoa makahaba mkidhani ni watu, kumbe...
 
Ndoa ni nzuri,

Watoto wa sikuizi mnaoa makahaba mkidhani ni watu, kumbe...
Acha dharau bwashee mwanamke akiwa kwako ni mke, akitoka nnje na hapo nyumbani kwako wahuni tunamwona ka...ba tu😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…